Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

Tetesi: Kozi gani nichukue veta mwaka wa masomo 2019 kati ya kozi hizi

Electrical installation. Umeme wa magari hauna dili siku hizi. Magari ya sasa yanapigwa diagnosis na computer.

Pamoja na hiyo computer diagnosis bado mtu mwenye huo utaalam atahitajika na kuna kila dalili magari yanayotumia umeme yataanza kuingia na isitoshe sisi wabongo tunapenda sana mteremko,utakuta magari mengi yamejaa kwenye gereji bubu vichochoroni na huko hakuna huduma ya computer.
 
Electrical installation. Umeme wa magari hauna dili siku hizi. Magari ya sasa yanapigwa diagnosis na computer.
Ubarikiwe mkuu na wote mlionipata na mnaoendelea kutoka michango yenu...kwa moyo wa kipekee ahsanteni sana
 
kwani wewe huna ndoto unazohitaji ufikie? kama unazo angalia kozi ipi inakufikisha uko unakotaka, hakuna acha zote. kama huna jitathmini utajua tu. Kama ulikua unaweza kuunganisha umeme ata kabla ya kusoma nenda electrical installation na kama unapenda magari pia chukua umeme wa magari. Unavutiwa na mashine za kuchapa zinavofanya kazi chagua machine printing. Ukichagua unachopenda itakua rahisi kusoma na kufikiri nje ya box. NI USHAURI TU
Asante kiongozi kwa ushauri makini!
 
Back
Top Bottom