kwani wewe huna ndoto unazohitaji ufikie? kama unazo angalia kozi ipi inakufikisha uko unakotaka, hakuna acha zote. kama huna jitathmini utajua tu. Kama ulikua unaweza kuunganisha umeme ata kabla ya kusoma nenda electrical installation na kama unapenda magari pia chukua umeme wa magari. Unavutiwa na mashine za kuchapa zinavofanya kazi chagua machine printing. Ukichagua unachopenda itakua rahisi kusoma na kufikiri nje ya box. NI USHAURI TU