Kozi gani nzuri kwa kombi ya HGK?

Kozi gani nzuri kwa kombi ya HGK?

Community development, Psychology, Social Work, Sociology, Project planning and management, Laws.

Soma B.A Kiswahili ule maisha
Bora kabisa ya hizo kozi...utasaidia jamii yako...
Usiende tu kusomea upupu wa sijui theolojia halafu uje kutusumbua tukifunga mikataba ya biashara wakati hata havihusiani.....
 
Back
Top Bottom