nyamakonge
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 363
- 131
Kama mi ni mwanafunzi basi ww utakua radiographer bush huko ambapo hospital ni moja na wakazi wa hapo hawana mazoea ya kwenda hospitali..hamia mjini kaka uone wenzako walivopiga hatuaWewe bado mwanafunzi mmeshadanganyana huko!eti pesa nje nje duh,
Kama mi ni mwanafunzi basi ww utakua radiographer bush huko ambapo hospital ni moja na wakazi wa hapo hawana mazoea ya kwenda hospitali..hamia mjini kaka uone wenzako walivopiga hatua
Koz Za Afya Zinaongoza, Za Engineèring Zinafata Na Ualimu . But Za Afya Ndo Mpango Xana .Piga Diploma Ya Optometry Pale Kcmc Uone Jins Lilivyotamu. Coz Iyo Wanatoa Kcmc 2 Tz Nzima. Xo Watakugombania Wala Hutaangaika Na Kuomba Omba Kaz. Miaaa
Maendeleo hayatangazwi ,yanaonekana,sasa ukitaka kujua nmefanyaje nakukaribisha....en way ukibisha taaluma hii sio kitu kafanye research inawezekana nabishana na mtu ambae haijui taaluma hii iko vp...Wewe umepiga hio hatua?
Maendeleo hayatangazwi ,yanaonekana,sasa ukitaka kujua nmefanyaje nakukaribisha....en way ukibisha taaluma hii sio kitu kafanye research inawezekana nabishana na mtu ambae haijui taaluma hii iko vp...
Kwa wale wanyeuelewa zaid upande wa ajira ni kozi gani nkichuku inaweza ikawa na uwepesi upande wa ajira!?
Kwa wale wanyeuelewa zaid upande wa ajira ni kozi gani nkichuku inaweza ikawa na uwepesi upande wa ajira!?
Ahaaaa mkuu weka basi vitambulisho vyangu hadharani kama mimi ni mwanafunzi make unaonekana kunijua zaidi ya mimi????Nilijua tu utajisifia ujinga,hv mtaacha lini kujisifia uongo?wewe najua ni mwanafunzi so kama unataka kutudanganya una maendeleo bas we anza tu kutupiga fix
Kwa wale wanyeuelewa zaid upande wa ajira ni kozi gani nkichuku inaweza ikawa na uwepesi upande wa ajira!?
Kwa uandishi huu? Inasikitisha sana kuona na wewe upo au unajiandaa kwenda chuo kikuu.