Kozi gani ukisoma ajira zake zipo wazi?

Kozi gani ukisoma ajira zake zipo wazi?

Wewe bado mwanafunzi mmeshadanganyana huko!eti pesa nje nje duh,
Kama mi ni mwanafunzi basi ww utakua radiographer bush huko ambapo hospital ni moja na wakazi wa hapo hawana mazoea ya kwenda hospitali..hamia mjini kaka uone wenzako walivopiga hatua
 
Kama mi ni mwanafunzi basi ww utakua radiographer bush huko ambapo hospital ni moja na wakazi wa hapo hawana mazoea ya kwenda hospitali..hamia mjini kaka uone wenzako walivopiga hatua

Wewe umepiga hio hatua?
 
Koz Za Afya Zinaongoza, Za Engineèring Zinafata Na Ualimu . But Za Afya Ndo Mpango Xana .Piga Diploma Ya Optometry Pale Kcmc Uone Jins Lilivyotamu. Coz Iyo Wanatoa Kcmc 2 Tz Nzima. Xo Watakugombania Wala Hutaangaika Na Kuomba Omba Kaz. Miaaa

Kwa uandishi huu? Inasikitisha sana kuona na wewe upo au unajiandaa kwenda chuo kikuu.
 
Wewe umepiga hio hatua?
Maendeleo hayatangazwi ,yanaonekana,sasa ukitaka kujua nmefanyaje nakukaribisha....en way ukibisha taaluma hii sio kitu kafanye research inawezekana nabishana na mtu ambae haijui taaluma hii iko vp...
 
Nilijua tu utajisifia ujinga,hv mtaacha lini kujisifia uongo?wewe najua ni mwanafunzi so kama unataka kutudanganya una maendeleo bas we anza tu kutupiga fix
 
Nilijua tu utajisifia ujinga,hv mtaacha lini kujisifia uongo?wewe najua ni mwanafunzi so kama unataka kutudanganya una maendeleo bas we anza tu kutupiga fix
Ahaaaa mkuu weka basi vitambulisho vyangu hadharani kama mimi ni mwanafunzi make unaonekana kunijua zaidi ya mimi????
 
Kwa wale wanyeuelewa zaid upande wa ajira ni kozi gani nkichuku inaweza ikawa na uwepesi upande wa ajira!?

uache upuuzi wewe- lakini akili bado haijakaa sawa! Unauliza swali hujaweka sifa zako! Umesoma combination gani labda- jamii ya HKL, PCB, ECA au vp? Usije ukawa umesoma HKL halafu wanakwambia mambo ya Dip.in Optometry!
 
Back
Top Bottom