godlisten godlove
Member
- Jun 9, 2024
- 7
- 12
Ni course gani unaweza kusoma endapo ukichukua CBG advance tofauti na afya pamoja na education?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa course zipo nyingi lakin vipi kuhusu ajira kwenye hizo course ulizotaja mwanzonBSc. Forestry, BSc. Wildlife, Aquaculture, Kozi zote za kilimo, Bachelor of Science in Chemistry, Food science and technology, Human nutrition na nyingine nyingi...
NB:Nyingi hapo zipo SUA !!!!
Ajira connection ina mata kaka, otherwise akasome afyaSawa course zipo nyingi lakin vipi kuhusu ajira kwenye hizo course ulizotaja mwanzon
Anafahamu anachokitaka huyo atafika mbali.Juzi my 1st born kachomoa kasema anataka CO kwamba CBG aliyopangiwa ni use less
Izo kozi hazina ajira n kubahatisha tuSawa course zipo nyingi lakin vipi kuhusu ajira kwenye hizo course ulizotaja mwanzon
Duh!! Upo sahihi maana ajira za saa hizi ni connection kwa wingiAjira connection ina mata kaka, otherwise akasome afya
Soma environmental health ipo muhas. Utakuja kunishukuru. Kuna environmental science na environmental health. Zingatia neno HEALTHNi course gani unaweza kusoma endapo ukichukua CBG advance tofauti na afya pamoja na education?
Sawa asante kwa ushaurSoma environmental health ipo muhas. Utakuja kunishukuru. Kuna environmental science na environmental health. Zingatia neno HEALTH
Inauwanda mpana?Soma environmental health ipo muhas. Utakuja kunishukuru. Kuna environmental science na environmental health. Zingatia neno HEALTH
Yah unaweza fanya kazi borders, hospitali, uwanja wa ndege, bwana afya, na zingine nyingiInauwanda mpana?
Shukrani ndugu 🙏🙏🙏Yah unaweza fanya kazi borders, hospitali, uwanja wa ndege, bwana afya, na zingine nyingi
Km nia yake ni kusoma kozi za afya hapo baadae, bas ni vyema apambanie hiyo CO, kikubwa akakaze hapo Dip.Juzi my 1st born kachomoa kasema anataka CO kwamba CBG aliyopangiwa ni use less
Environmental health ina soko na uhitaji mkubwa kwa sasa, iko vizuri.Soma environmental health ipo muhas. Utakuja kunishukuru. Kuna environmental science na environmental health. Zingatia neno HEALTH
Wewe ni TISS? Kwenye mada za umbea huwa upo sana na kwenye mada za kisomi pia upo tena unatoa comments zilizonyooka za kisomi. Wewe ni TISSKm nia yake ni kusoma kozi za afya hapo baadae, bas ni vyema apambanie hiyo CO, kikubwa akakaze hapo Dip.
Ili degree akapige MD
Jamani mnanipa sana moyo mdogo wenu mpaka naogopa 😁😁😁, nipo mwaka wa kwanza hiyo koziEnvironmental health ina soko na uhitaji mkubwa kwa sasa, iko vizuri.
CO sasa sio deal ....akiweza aunge AMO safari ndefu sanaaa..Juzi my 1st born kachomoa kasema anataka CO kwamba CBG aliyopangiwa ni use less