Kozi gani unaweza kuchukua endapo utasoma tahasusi ya CBG?

BSc. Forestry, BSc. Wildlife, Aquaculture, Kozi zote za kilimo, Bachelor of Science in Chemistry, Food science and technology, Human nutrition na nyingine nyingi...
NB:Nyingi hapo zipo SUA !!!!
Sawa course zipo nyingi lakin vipi kuhusu ajira kwenye hizo course ulizotaja mwanzon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…