Kozi gani unaweza kuchukua endapo utasoma tahasusi ya CBG?

Km nia yake ni kusoma kozi za afya hapo baadae, bas ni vyema apambanie hiyo CO, kikubwa akakaze hapo Dip.
Ili degree akapige MD
Sawa mkuu nashukuru Sana kwa good idea toka kwako Great thinker na ndo lengo la kijana wangu
 
Jamani mnanipa sana moyo mdogo wenu mpaka naogopa [emoji16][emoji16][emoji16], nipo mwaka wa kwanza hiyo kozi
Pambana sana Dogo, kikubwa ukitoka chuo usibweteke tafuta fursa na nafasi ufanyie vitendo hiyo taaluma yako.

Maisha ni kupambana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…