Nyankumbukwetu
Member
- Dec 2, 2012
- 10
- 4
Zote ni zina ajira sawa kabisa.Utofauti upo qualification za kuchagua hizo kozi, in geology inafit kwa wale waliosoma pcm na pgm maana wanakuja kufanya option ya physics pia chuo.Kwa with geology inafit kwa uliyeaoma egm na cbg utakutana na kuopt kati ya geography,mathematics au chemistry
Soma Engineering geology.

Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu, nataka kuaply coz za geology ila sijajua ni ipi yenye ajira nzuri, alafu UDSM nimeona kuna B sc in geology na B sc with geology nashindwa kuzitofautish, naombeni msaada wenu