Nyankumbukwetu
Member
- Dec 2, 2012
- 10
- 4
Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu, nataka kuaply coz za geology ila sijajua ni ipi yenye ajira nzuri, alafu UDSM nimeona kuna B sc in geology na B sc with geology nashindwa kuzitofautish, naombeni msaada wenu