Kozi hii ya SUA inalipa????

umerudia zama zako....................ni kweli mana walikua hata wakija club pale 4 stars unakuta wamebeba panya,wengine wanaingia club na mimeaz ndo hivo sasa tutafanyeje

umemaliza?i feel sorry for JF,eti na wewe unajiita Great thinker!what a joke you are
 
Kwenye nchi zetu za ulimwengu wa tatu, Hailipi ..wafugaji wanatumia uzoefu.
 
Ucogope ww njoo soma thn uone kama inalipa au hailipi. Kimsingi utaipenda mwenyewe mana utajua mambo mengi sana kuhusu wanyama. Very interesting course. Washkaji wamesoma sasa wana mradi wao wa kuuza maziwa. Mm binafsi ninasoma hii course
 
umerudia zama zako....................ni kweli mana walikua hata wakija club pale 4 stars unakuta wamebeba panya,wengine wanaingia club na mimeaz ndo hivo sasa tutafanyeje

Acha dharau ndg,
kwani sio kila course SUA inahusu kilimo
kuna
Bsc Enviromental Science,
Bsc Informatics,
Bsc Education,
Bsc Tourism,
Bsc Rural Dev't,
jiheshmu kijana sio wote wakulima!
 
Acha dharau ndg,
kwani sio kila course SUA inahusu kilimo
kuna
Bsc Enviromental Science,
Bsc Informatics,
Bsc Education,
Bsc Tourism,
Bsc Rural Dev't,
jiheshmu kijana sio wote wakulima!

kozi zote za kishamba.
 
ukiweza soma BVM ila kama we ni sharobaro soma Food Sc, RURAL DVPMNT, HOMEC, EXT.

Huu mkwara ni wa hali ya juu. Jamani, tuwe na huruma kidogo maana ukiongea hivi ndio SUA itakosa wanafunzi. BVM haina ugumu wowote ni uamuzi tu. Hakuna kozi yoyote ngumu ukiamua na kama una alama zinazokuwezesha kusoma. Kuna watu wanasema kozi za arts rahisi sana na hapo hapo yeye anasoma sayansi. Kama ni rahisi si angeenda hapo arts wakamle kichwa???

Umeamua kwenda SUA, nenda kasome siyo upo pale halafu mawazo yako si kusoma. Ujue SUA wataondoka na kichwa chako maana hauko kishule.
 
kwan graduates wa sua c wabushi??mjini wanaforce tu.

Mbona sasa unatumia masaburi kufikiri. Hata ungekuwa umehitimu shahada kutoka Paradiso au Edeni, bado itategemea juhudi zako binafsi ktk kuchanganua mambo ktk soko huria. Labda kwa wewe ambaye shangaz yako, nyama yako ya hamu, mama dogo dogo wamekaa mahali wanasubiri kukushika mkono.
 
nyie kakaeni na wakulima huko bush bana.huku mjini tuachien wana udsm,mzumbe na ifm.
 
umerudia zama zako....................ni kweli mana walikua hata wakija club pale 4 stars unakuta wamebeba panya,wengine wanaingia club na mimeaz ndo hivo sasa tutafanyeje

Mikatabafeki una utani na wasuaso sio! Wenzio tulikuwa tunang'aa hadi sasa tuone tunavyokimbiza hayo mapanya na mimeaz tulikuwa tunaacha hukoooooooooo na kuparty hadi njweeeeee... back to topic, Msuaso hafi njaa hivyo piga course popote unafit!
 
nyie kakaeni na wakulima huko bush bana.huku mjini tuachien wana udsm,mzumbe na ifm.

Nakusikitikia sana,eti nawe ni Great thinker! unaisikia tu SUA kupitia story za vijiweni hata hicho unacho argue kiko baseless,ila sikulaumu nahisi ndo mnafundishwa hivyo, pole mkuu at the end of the day Performance yako katika kazi ita-matter na sio u-UDSM,u-IFM wako,ulifika hapo UD kwa ki-memo nini?
 
we nenda kahudumie wakulima huko bush bana,wanakuhtaji sana,huku mjini hatukuhtaji.
 
Huu ushauri mzuri, kaeso ufanyie kazi na kila la heri.
 
we nenda kahudumie wakulima huko bush bana,wanakuhtaji sana,huku mjini hatukuhtaji.

unasoma nini kwanza?fine and performing arts?u r a fool we ukikaa mjini nami nikikaa kijijini wote si tunatafuta pesa ama kweli UD ina-vilaza na wewe ni mfano tosha,ungekua SUA ungedisco semester ya kwanza, toa ujinga wako humu
 
sasa naona unatutukana wanaUD! Mbona hujui kufanya research?
 
sasa naona unatutukana wanaUD! Mbona hujui kufanya research?

Mfunze huyo dogo anayejiita Senetor kuwa shule ni one part utafanya nini there after is another part,ana upeo finyu wa mawazo,mi niko kazini mwaka wa 3 huu mwambia aache kebehi hajui ki2 zaidi ya Boom,Sup,Semester na kukariri,kilaza mkubwa na ajiangalie asitoke na gentleman's GPA (2.*)
 
Kozi ni nzuri sana, sema ukija SUA ujiandae kutotua jamvini hadi utakapokizoea chuo,
 
kilaza ni wewe uliyefel hadi ukaamua kwenda kusomea hyo mizizi,wenye akili zetu timamu tunasoma vitu vya maana huku chuo kikuu.
 
kilaza ni wewe uliyefel hadi ukaamua kwenda kusomea hyo mizizi,wenye akili zetu timamu tunasoma vitu vya maana huku chuo kikuu.

vitu vya maana vipi? Kaka watoto wa chuo wote nje ya vyuo hivi muhimbili,SUA na ardhi wanahofu juu ya taaluma zao sasa hemu wewe wa udsm utupe hiyo taaluma yako utubadilishe mawazo wanajukwaa,unasomea taaluma gani?
 
kilaza ni wewe uliyefel hadi ukaamua kwenda kusomea hyo mizizi,wenye akili zetu timamu tunasoma vitu vya maana huku chuo kikuu.

Ha ha ha ha ha ha ha you are a joke,ungejua usingesema pole yako sisi hatujafunzwa kubishana bila fact una jeuri ya kuongea upupu coz of hako ka-boom unakopewa pole yako,hiyo UD niliipata na kuipiga chini nikaja SUA, wewe upeo wako mdogo huoni mbali sikulaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…