Kozi ipi ni nzuri kwa mwalimu wa shule ya msingi?

Puremind

Member
Joined
Aug 4, 2021
Posts
44
Reaction score
10
Kozi nzuri kwa mwalimu wa shule msingi anayoweza kuchukua kwa kiwango Cha degree, kozi yenye wigo mpana pamoja na fursa, chuo gani?

Ufaulu div 3.13 HGK

Anayetaka mawazo yenu ni in-service wa miaka 5
 
[emoji3516]
NENDA SECOM - LUSHOTO,
KASOMEE ELIMU_MAALUM.
 
Nenda ADEM kasomee Uthibit ubora wa shule. hawa Ni wakaguzi wa shule, sehemu Nyingi bado ni wachache so fursa zake bado zipo.
 
Ok, basi tafuta chuo kinachotoa hiyo fani kwa ngazi ya Degree! Mie sikusoma hapo ila huwa naona tagazo kweye TV.
 
Kozi nzuri kwa mwalimu wa shule msingi anayoweza kuchukua kwa kiwango Cha degree, kozi yenye wigo mpana pamoja na fursa, chuo gani?

Ufaulu div 3.13 HGK

Anayetaka mawazo yenu ni in-service wa miaka 5
Kasome Bachelor of Education in Primary Education, chuo Tumaini Makumira Arusha
 
Back
Top Bottom