Points zako zimekaaje?
Soko la ajira ni gumu haijalishi utachukuwa kozi gani, Hata kozi utakayoshauriwa hapo hautakuwa peke yako. Kikubwa wee angalia kozi ipi unaweza kuimudu na unahisi walau unaweza kufanya kitu kuliko kutegemea 100% uajiriwe, Kwa upande wa arts mi nashauri sana upitie tu advance (Kama utaweza) alafu chuo ukaanze Bachelor moja kwa moja
Ila ningependa kuona points zako pia.
Eng_c,,,, kisw_ B,,,,,civics_C,,,,,geo_D,,,,,Hist_D,,,,,Bio_C,,,,,chem_D,,, physics nilikuwa sisomi akukuwa na ticha