Kozi ipi/zipi za madini zikomarketable hapa tz na nje ya tz?

Kozi ipi/zipi za madini zikomarketable hapa tz na nje ya tz?

Tagawa Mwakitombile

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
464
Reaction score
393
HABARI WANA JF KUNA MDOGOWANGU NI MUHITIMU WA KIDATO CHA 4 MWAKA 2012 NA MATOKEOYAKE SI MABAYA SANA MAANA ANA DIV 4 YA POINTS 27
MATH-C
PHY-D
CHEM-D
GEO-D
KISW-D
ENGL-D
BIOS-D
CIVS-D
HIS-D
NA SASAHIVI ANATAKA ATUME MAOMBI YA KUSOMA CERTIFICATE KATIKA CHUO CHA MADINI-DODOMA
NA KINATOA KOZI ZIFUATAZO;
*GEOLOGY AND MINERAL EXPLORATION
*PETROLEUM GEOSCIENCES
*MINING ENGINEERING
*MINERAL PROCESSING ENGINEERING
*ENVIRONMENTAL ENGNEERING AND MANAGEMENT IN MINES

JE NI KOZI GANI KATI YA HIZO AMBAYO IKO MARKETABLE HAPA NCHINI NA HATA NJE YA NCHI?

#thanks in advance#
 
Back
Top Bottom