Wakuu nahitaji maoni ipi ni kozi ngumu kuliko zote? Je ni udaktari(medicine)? Sheria(law)? Uinjinia(engineering)Au ipi?
Kwani mmeishatoka depo ya JKT?
walio na division 3 za arts bado hawajakwenda jkt.
Kila mtu ana kozi ngumu kutegemea background yake..!!Wakuu nahitaji maoni ipi ni kozi ngumu kuliko zote? Je ni udaktari(medicine)? Sheria(law)? Uinjinia(engineering)Au ipi?
Huyu atakuwa na three ya arts xo itakuwa wamemuacha.Kwani mmeishatoka depo ya JKT?
Wakuu nahitaji maoni ipi ni kozi ngumu kuliko zote? Je ni udaktari(medicine)? Sheria(law)? Uinjinia(engineering)Au ipi?