mngony JF-Expert Member Joined Jul 27, 2012 Posts 5,555 Reaction score 6,972 Jul 24, 2013 Thread starter #21 Mi mbna niko chuo, medicine! Namaliza mwaka wa pili!
mngony JF-Expert Member Joined Jul 27, 2012 Posts 5,555 Reaction score 6,972 Jul 24, 2013 Thread starter #22 Tunabishana na mtu wa law, anadai kozi yake ndio ngumu kuliko zote! Ukweli Medicine ni ndio kozi ngumu kuliko zote! Lazima tukubali kuna kuzidiana!
Tunabishana na mtu wa law, anadai kozi yake ndio ngumu kuliko zote! Ukweli Medicine ni ndio kozi ngumu kuliko zote! Lazima tukubali kuna kuzidiana!
Dean JF-Expert Member Joined Jan 1, 2013 Posts 636 Reaction score 245 Jul 24, 2013 #23 VUTA-NKUVUTE said: Kozi ngumu ni ile ambayo wewe huwezi kuisoma Click to expand... hapo umemaliza kabisa ��
VUTA-NKUVUTE said: Kozi ngumu ni ile ambayo wewe huwezi kuisoma Click to expand... hapo umemaliza kabisa ��
kutwamara3 Senior Member Joined Jul 16, 2013 Posts 170 Reaction score 27 Jul 24, 2013 #24 Medicine ni ukiwa kichwa bright is very simple!
R ruhi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 4,368 Reaction score 6,661 Jul 25, 2013 #25 kwani unafanya research kuhusu kozi ngumu? au nini kitafuata baada ya kupata maoni?
y-n JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,389 Reaction score 2,510 Jul 25, 2013 #26 kwanini uulize swali na kujaribu kutoa majibu yake?na vipi kama katika hayo majibu yako hapo juu hakuna jibu sahihi? kozi ngumu kuliko zote ni kutiwer!ndio maana wanaume wengi wameshindwa!
kwanini uulize swali na kujaribu kutoa majibu yake?na vipi kama katika hayo majibu yako hapo juu hakuna jibu sahihi? kozi ngumu kuliko zote ni kutiwer!ndio maana wanaume wengi wameshindwa!