Kozi ngumu kuliko zote hapa Tz

Kozi ngumu kuliko zote hapa Tz

Mi mbna niko chuo, medicine! Namaliza mwaka wa pili!
 
Tunabishana na mtu wa law, anadai kozi yake ndio ngumu kuliko zote! Ukweli Medicine ni ndio kozi ngumu kuliko zote! Lazima tukubali kuna kuzidiana!
 
kwani unafanya research kuhusu kozi ngumu? au nini kitafuata baada ya kupata maoni?
 
kwanini uulize swali na kujaribu kutoa majibu yake?na vipi kama katika hayo majibu yako hapo juu hakuna jibu sahihi?

kozi ngumu kuliko zote ni kutiwer!ndio maana wanaume wengi wameshindwa!
 
Back
Top Bottom