Veterinary medicine,animal science etc.
asante mkuu. Ila dah! Nakumbuka nimetumia 5 years muhimbili kuutafuta umaskini. Hata uwezo wangu wa kusaka pesa niliokuwa nao before ulipotea kabisa. Unaposoma miaka mingi unazidi kuwa ajira oriented zaidi. Hakuna kozi za miaka mitatu?
Veterinary medicine,animal science etc.
Hiyo BVM uwe umejitolea kinoma, na uwe tayari kurudi nyumbani muda wowote!!