Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Salamu zenu wakuu,nna mdogo kamaliza cbg anapendelea cozi za mambo ya mifugo na kilimo. Je ni ipi ambayo akiiso itamuwezesha kupata ajira au kujiajiri mwenyewe na akatoka kimaisha?
Isiwe ya kutegemea kuajiriwa serikalini tu,awe na mwanga wa kuweza kuona opportunities zilizopo na kuzitumia. Kuhusu kufaulu sina wasiwasi,he is gud upstairs lakini na kufeli kupo pia. Asanteni.