Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2024/25

Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2024/25

Vingi tu mojawapo IAA
Screenshot_20240722-081617_1.jpg

Everything is written bro, Acha kupotosha umma
 
Hiyo information technology HKL anasoma
Information technology (IT) ni computer hiyo wana share course nyingi tofauti ni ndogo tu ila kwenye kazi wanaajiriwa kazi zile zile
Sasa hapo unaanza kujigeuka mwenyewe mada ilikuwa ni computer science, na ukasema vyuo vingi vinatoa ikiwemo IAA, nimekupa proof then umetumia proof yangu kujitetea kivingine.
In short nimegundua kuwa nothing u know tofauti ya IT, computer science, computer engineering, software engineering. Mada iishie hapa
 
IT ni nini?
Hizo zote ni course za computer na zipo nyingi tu
1.Computer Science (CS): This is the most general computer degree, and it covers a wide range of topics, including programming languages, algorithms, data structures, computer architecture, operating systems, networking, and artificial intelligence.

2.Software Engineering: This degree focuses on the practical aspects of software development, such as design, coding, testing, and debugging. Software engineers typically work in teams to develop large-scale software applications.

3.Information Technology (IT): This degree focuses on the application of technology to solve business problems. IT professionals typically work in a variety of roles, such as network administrators, database administrators, and help desk technicians

4. Cybersecurity: This degree focuses on the protection of computer systems and networks from unauthorized access, use, disclosure, disruption, modification, or destruction. Cybersecurity professionals are in high demand due to the increasing number of cyber threats
5...
 
Ahsante mkuu kwa mchango wako 🙏 kumbe unaelewa tofauti sake,hakika vijana wakija watapata nondo za kutosha kupitia huu uzi, Ubarikiwe sana
 
alafu wote tukijiajiri unataka wajomba zako wamarekani waje watuongoze?
unatakiwa kujua hii nchi ni ya WAKULIMA NA WAFANYAKAZI.

Acha kulalamikia mifumo pambana nayo like Real Man. kujiajiri waachie watoto wa wafanyabiashar
 
kwa hapo umefeli mkuu, yaani wewe ndo una mawazo ya kimaskini. kujiajiri haina maana kuwa kuna watu wengine hawataajiliwa.
mi nilifikiri ungeweka kozi chache tu za kumshauri mtu asome ili akitoka chuo asitegemee kuajiriwa. yaani focus ni kuja kuitumia skills aloipata akiwa chuo kupata pesa mtaani. sasa mtu akisoma mfano nersing, au akasome maendeleo ya jamii atajiajiri vipi mtaani au ndo hyo usubiri ajira badae uje uwe kiongozi kama unavyosema?
 
KWA FRESHERS / FIRST YEAR 2024/2025
MLIO CHAGULIWA VYUO VYA MIKOA YA KILIMANJARO NA ARUSHA ,
KABIRUNI MJIPATIE VYUMBA SAFI VYA KUISHI (SINGLE SELF AU SINGLE ZA KAWAIDA) ,
NA HOSTEL ZA NJE YA CHUO ZILIZO KARIBU KABISA NA VYUO....

KCMC , MoCU( USHIRIKA), MWENGE , HAPO MOSHI MJINI-KILIMANJARO......

IAA ,NELSON MANDELA , N.K KWA ARUSHA

VYUMBA NI VIZURI NA VIKO KARIBU NA VYUO HUSIKA...CHA MSINGI ATAKAE WAI ANAPATA.....NA KWA WALE WANAOHITAJI HOSTEL ZA NJE YA CHUO KARIBUNI

Bei zinaanzia. 70,000/= Kwa single selfs na kuendelea , single za kawaida zinaanzia. 40,000/= Kwa VYUO vyote.... VILIVYOPO KARIBU NA VYUO...

Na malipo ya Kila chumba ni kuanzia miezi mitatu , ila hostel unalipa Kwa semester....

WASILIANA NAMI.......

0672701329 FOR NORMAL CALL , TEXT , AND WHATSAPP....

PIA WAWEZA SHARE KWENYE WHATSAPP GROUPS AU KWA WANAOHITAJI .....ASANTE...
 
Duh asee yani unashauri watu wasomee kutokupata ajira?

Waambie wasomee vitu technical. Ufundi ufundi. Boilermaker, fitter mechanics, autoelectrical, electrical n.k hizo fani hata usipoajiriwa michongo ipo kitaa ukiwa mjanja hukosi buku mbili tatu kila siku sasa law huna ajira utapata wapi dough?
Akili huna, mtu anaweza akasoma mpk degree, umri ukawa bado ndio kwanza 23, huo mda unaobaki wote ndio ajifunze mambo mengine ya ufundi nk, hata kama ajira upate au usipate lazima uingie mtaani ukiwa " "somebody".
 
Point to note "Akili sina"
 
KWA FRESHERS ( FIRST YEAR) NA CONTINUOS........, KARIBUNI......,MJIPATIE ......,VYUMBA VILIVYO......,. KARIBU NA VYUO VYA MIKOA YA KILIMANJARO-MOSHI...NA...ARUSHA---.....WASILIANA ........NAMI...
..
#MOCU,#KCMC,#MWENGE,#MWEKA.......#IAA,#TENGERU.,#NELSON_MANDELA
..
..0672701329
 
Back
Top Bottom