Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2024/25

Nimekupenda bure bandiko zuri sana Hongera sanaaaa
 
Kila mtu atakuwa fundi sasa
 
Akili huna, mtu anaweza akasoma mpk degree, umri ukawa bado ndio kwanza 23, huo mda unaobaki wote ndio ajifunze mambo mengine ya ufundi nk, hata kama ajira upate au usipate lazima uingie mtaani ukiwa " "somebody".
Upo mpaka uku
 
PMCs tusome nini
 
Watakaokuwa viongozi wanakwenda chuo kutimiza matakwa ya CV; apate tu 'PASS', hayo mambo ya kozi ni ya wasakatonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…