Menapitatu
Senior Member
- May 12, 2013
- 195
- 86
Wadau wa JF nimechaguliwa kozi ya Health distrct management sasa sijaielewa hii kozi inakuaje, nafasi zake za ajira ziko vipi?? Na pia hawa ndo watu gani??? Mm sikuichagua nilichagua crinical medicine naomba ushauri wako ..... Nikasome au nitafute nafasi nyingine