Kozi ya Community Health toka Nacte

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Nimeambiwa kuwa unaweza kuapply kwa vyuo vingine kupitia Nacte ambao wanatoa hiyo kozi, ila nimejaribu fuatilia kwenye tovuti yao sijaona hiyo kozi na nikitaka ni'download application guide for certificates applicants, inanipeleka ku'log in kwenye system yao.
Naombeni mnisaidie waungwana, hiyo koz ni kweli nacte wanatoa au ni chuo gani kingine kinachotoa? Ni mdogo wangu namfuatilia chuo, itapendeza ukiweka na links 4>i. Thanks!
 
Mimi nimeingia necta, πŸ™‚ mbona nimeona kunauwezekano wa ku-apply! Hata mimi natamani niende hicho chuo, nimemaliza kidato cha nne since 2012 Mrike Sec-Rombo. :\
 
Mimi nimeingia necta, πŸ™‚ mbona nimeona kunauwezekano wa ku-apply! Hata mimi natamani niende hicho chuo, nimemaliza kidato cha nne since 2012 Mrike Sec-Rombo. :\

mkuu hapa tunazungumzia nacte sio necta
 
Magumashi kaka nimrsearch kila mahali sijaona!!!
Nimetafuta pia. Na baadhi ya maeneo ya tovuti yao sio responsive kwa mobile devices, nimecheck FAQs yao haisomeki.
 
Magumashi kaka nimrsearch kila mahali sijaona!!!
Ipo aisee check kwenye news. http://www.nacte.go.tz/?id=107&source=Advertisement%20for%20Community%20Health%20Programme%20October/November%202015%20&page=news
Ila sidhani kma wanakubali fresh school leavers kwa sababu kuna baadhi ya kozi lazma uwe umepitia na umefanya kazi atleast miaka mitatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…