The Giant
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 504
- 96
Nimeambiwa kuwa unaweza kuapply kwa vyuo vingine kupitia Nacte ambao wanatoa hiyo kozi, ila nimejaribu fuatilia kwenye tovuti yao sijaona hiyo kozi na nikitaka ni'download application guide for certificates applicants, inanipeleka ku'log in kwenye system yao.
Naombeni mnisaidie waungwana, hiyo koz ni kweli nacte wanatoa au ni chuo gani kingine kinachotoa? Ni mdogo wangu namfuatilia chuo, itapendeza ukiweka na links 4>i. Thanks!
Naombeni mnisaidie waungwana, hiyo koz ni kweli nacte wanatoa au ni chuo gani kingine kinachotoa? Ni mdogo wangu namfuatilia chuo, itapendeza ukiweka na links 4>i. Thanks!