CompaQ JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 281 Reaction score 134 Jul 4, 2013 #1 Habari wanajamii Forums!!!! Naomba kuuliza je kuna kozi inayotolewa sehemu ihusuyo mambo ya Blog? Sababu napenda siku moja kuwa Blogger kama unafahamu hiyo kozi naomba unifahamishe ili niweze kama ni kusoma ili nifahamu zaidi!!
Habari wanajamii Forums!!!! Naomba kuuliza je kuna kozi inayotolewa sehemu ihusuyo mambo ya Blog? Sababu napenda siku moja kuwa Blogger kama unafahamu hiyo kozi naomba unifahamishe ili niweze kama ni kusoma ili nifahamu zaidi!!