KOZI ya Kuwa BLOGGER

KOZI ya Kuwa BLOGGER

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Habari
wanajamii Forums!!!!
Naomba kuuliza je kuna kozi inayotolewa sehemu ihusuyo mambo ya Blog?
Sababu napenda siku moja kuwa Blogger kama unafahamu hiyo kozi naomba unifahamishe ili niweze kama ni kusoma ili nifahamu zaidi!!
 
Back
Top Bottom