Kozi ya Mathematics & Informatics, Naweza kufanya kazi gani tofauti na Ualimu?

Shaaban Haufi

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
75
Reaction score
10
Habari yenu wana JF,Mimi nasoma EGM Pale KAHORORO BOYS,Ndoto zangu ni kusoma hesabu na computer. Swali langu: je, endapo nikifaulu vizuri advanced mathematics,nikachagulia kujiunga na chuo kikuu Kwa kozi ya MATHEMATICS&INFORMATICS,Naweza kufanya kazi gani,tofauti na kuwa mwalimu? Nawatakia kazi njema ya kuelimisha jamii.
 
Usisome kwa kufikiria utaajiriwa wapi. Soma unachopenda na kinachoweza kuwa na future kwa dunia ijayo na ambacho aghalabu waweza jiajiri mwenyewe. Toa mentality ya kuajiriwa. Fikiria nje ya utumwa wa kuajiriwa. Nafasi za kazi zinajazwa kila mwaka.

Course mpya zinaanzishwa kila mwaka. Vizuri kuwasiliana na chuo kinachotoa kozi husika kujua ukimaliza unakuwa na uwezo wa kufanya kazi zipi. Lakini sio Jamiiforums.
 

Thanks brother ozzie,God bless you a lot for your advice,i have learnt a something from you, thank you very much
 

usisahau kumueleza pia SOMA UJIAJIRI siku izi imekua ni msemo wa kujipa moyo.ila kihalisia watu wengi hushindwa kujiajiri mwisho wa siku huja kujuta.kujiajiri ni dhana pana inayohitaj CAPITAL,ELIMU,RESEARCH na zaid ya yote CREATIVITY na KIPAJI BINAFSI.

hivyo vyote hua ni ktk mfungamano wa kujiajiri.mathalani unaweza kukaa barabarani na kuuza mtumbaaaaa na watu wa darasa la7?unaweza kua konda wa daladalaa?

ila yapaswa kuelewa pia juna short way planning to the long way planning itakayokupatia mtaji wa kujiajiri rasmi otherwise suala la kujiajiri litabaki mdomoni tu na kuishia watu kushauriana ila mwisho wa siku tunarudi kusambaza bahasha maofisini na kusubiri kwenda kwenye mainterview ya maelfu ya watu
 

hauwezi kuwa mwalimu by professional kwa coz hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…