Shaaban Haufi
Member
- Apr 18, 2014
- 75
- 10
Habari yenu wana JF,Mimi nasoma EGM Pale KAHORORO BOYS,Ndoto zangu ni kusoma hesabu na computer. Swali langu: je, endapo nikifaulu vizuri advanced mathematics,nikachagulia kujiunga na chuo kikuu Kwa kozi ya MATHEMATICS&INFORMATICS,Naweza kufanya kazi gani,tofauti na kuwa mwalimu? Nawatakia kazi njema ya kuelimisha jamii.