akilikubwa
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 590
- 108
dah nilikuwa congo mkuu..ni story ndefu kk ndomana nineona nije uku nipate ushauriKwanza, ulikuwa wapi kipindi chote hicho toka 2011.?
Pili kwanini usijiendeleze na kile ulichokuwa unakifanya kwa miaka yote minne hadi leo?
Tatu, kupanga ni kuchagua, course za kusoma ni nyingi sana kwa mtu wa EGM, ungenguwa fresh from school ungeangalia Quantity Survey, Builiding Economics-ARDHI, au kama una akili nyingi na unajua unawza faulu vizuri kasome Statistics na Econmics- UDSM(Sijui cut off points kwa sasa) au ukasome ACCOUNT - IFM, IAA... the best from me, wajuzi watakusaidia zaidi.
Ardhi University course ya kusoma ni URP, LMV, BE, etc
Kasome bcom
kwa qualification izo je nafit?mana wanasema minimum ni 4.0 points?na vipi kuhusu mkopo wa bodi?
je kwa point zangu izo naweza kusoma?coz requirement yao ni 4.0.Mkopo wa Bodi utapata lakini sijui itakuwa% ngapi, hii inatokana ya kuwa unaenda kusoma kozi za sayansi, kozi za sayansi zina mkopo...pia ikumbukwe kuwa kuna kozi ya ARCHTECTURE
Hujamuelewa yy analenga zaid kupata mkopo heslb a/c hawez pata mkopoMimi pia nilisoma EGM lkn nilisoma A/c nilifurahi na sikujuta kusoma hiyo course mkuu.Maana maths na economics kwangu ilikuwa powa sana
Hujamuelewa yy analenga zaid kupata mkopo heslb a/c hawez pata mkopo
Hujamuelewa yy analenga zaid kupata mkopo heslb a/c hawez pata mkopo