Kozi ya nzuri ya kusoma kwa EGM

Kozi ya nzuri ya kusoma kwa EGM

akilikubwa

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
590
Reaction score
108
Wasalam wanajf.

mimi nimemaliza form six 2011 nilipata Economics-D,Geography-E,na A/maths-E,Gs-S.Div III-14.je naweza kupata kusoma ardhi university nikapata mkopo?

Naombeni mnisaidie wakubwa zangu na wenyeuelewa na hili.mtaani kubaya jamani bila elimu.
ASANTENI NAOMBA MAONO YENU
 
Kwanza, ulikuwa wapi kipindi chote hicho toka 2011.?

Pili kwanini usijiendeleze na kile ulichokuwa unakifanya kwa miaka yote minne hadi leo?

Tatu, kupanga ni kuchagua, course za kusoma ni nyingi sana kwa mtu wa EGM, ungenguwa fresh from school ungeangalia Quantity Survey, Builiding Economics-ARDHI, au kama una akili nyingi na unajua unawza faulu vizuri kasome Statistics na Econmics- UDSM(Sijui cut off points kwa sasa) au ukasome ACCOUNT - IFM, IAA... the best from me, wajuzi watakusaidia zaidi.
 
dah nilikuwa congo mkuu..ni story ndefu kk ndomana nineona nije uku nipate ushauri
 
kwa qualification izo je nafit?mana wanasema minimum ni 4.0 points?na vipi kuhusu mkopo wa bodi?

Mkopo wa Bodi utapata lakini sijui itakuwa% ngapi, hii inatokana ya kuwa unaenda kusoma kozi za sayansi, kozi za sayansi zina mkopo...pia ikumbukwe kuwa kuna kozi ya ARCHTECTURE
 
je kwa point zangu izo naweza kusoma?coz requirement yao ni 4.0.
 
Mimi pia nilisoma EGM lkn nilisoma A/c nilifurahi na sikujuta kusoma hiyo course mkuu.Maana maths na economics kwangu ilikuwa powa sana
 
Hujamuelewa yy analenga zaid kupata mkopo heslb a/c hawez pata mkopo
 
Back
Top Bottom