Kozi ya optometry

Chuo gani tanzania kinatoa optometry ngazi ya degree?
Sijajua kama uliomba Makerere mbona wananafasi za foreigners pale,we ulisema wana competition ila sijajua uliomba ukakosa kama una vigezo vya ufaulu wao ila kwa optometry haina competition navyonua kwa pale kama umekidhi vigezo.Tanzania hiyo kozi ipo kwa ngazi ya diploma tu,uganda ipo Makerere tu
 
Nashukuru.
 
Acha kudanganya Mkuu, hapa Tanzania hii course kwa ngazi ya degree inatolewa KCMUCo. Na kwa ngazi ya diploma hapa Tz ni zaidi ya chuo kimoja lakini waaanzilishi wapo KCMC (Kilimanjaro college of Health and Allied sciences) wapo kule karibu na uwanjani, wamepakana na TCHRT
 

Attachments

  • EEEA022B-D1B0-4677-85C5-AA34B2F0BD3B.jpeg
    21.8 KB · Views: 13
Aya mzee,,kwa sasa sijui ila haikuwepo kwa kipind nipo Tanzania
 
Kwa TZ hakuna chuo kinachotoa....
Kcmc wameacha kutoa,
Sahv watu wanaenda abroad kusoma hio kozi.
Hio ndio update nliopata.
Jamaa ako kasema ninasema uongo kwamba ipo nimemuuliza mshikaji wangu kcmc kasema hakuna labda jamaa atuambie ni KCMC ipi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…