Hawana nimeambiwaBachelor nafikiri ni kcmc tu,ila sina hakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana nimeambiwaBachelor nafikiri ni kcmc tu,ila sina hakika
Hakuna acha uongo,mkuu haipo hii koziAcha kudanganya Mkuu, hapa Tanzania hii course kwa ngazi ya degree inatolewa KCMUCo. Na kwa ngazi ya diploma hapa Tz ni zaidi ya chuo kimoja lakini waaanzilishi wapo KCMC (Kilimanjaro college of Health and Allied sciences) wapo kule karibu na uwanjani, wamepakana na TCHRT
Hakuna acha uongo,mkuu haipo hii kozi
kcmuco.ac.tz
Fuatilia kama kuna wanafunzi unambieKCMUCo
kcmuco.ac.tz