KOZI YA PUBLIC RELATION AND MARKETING, JE UNAWEZA KUPATA KAZI SERIKALINI?

KOZI YA PUBLIC RELATION AND MARKETING, JE UNAWEZA KUPATA KAZI SERIKALINI?

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,290
wadau nauliza aliyewahi kupata kaz serikalin kwa koz hiyo je yupo? na je ni ofisi gan au wizara gan? mtu anawez kupata kaz kupitia kozi hiyo. asante
 
Kozi za ovyo hizo dogo kupata kazi mpk uwe na connection trust me
 
wadau nauliza aliyewahi kupata kaz serikalin kwa koz hiyo je yupo? na je ni ofisi gan au wizara gan? mtu anawez kupata kaz kupitia kozi hiyo. asante
Ndio unapata kabisa...TANESCO, TRA na kwenye mashirika mbalimbali ya umma/ya serikali
 
Kozi za ovyo hizo dogo kupata kazi mpk uwe na connection trust me
Naomba nionge kwa upande wangu icho kitu sio kweli nimesoma iyo kozi nimemaliza tuu chuo sijakaa mtaa ata miezi 2 nikapata kazi ya assistant tutorial ilikuwa ni contract ! Kabla ata sijafikisha miezi 4 kwenye iyo kazi nikaomba kazi utumishi nikaenda Dodoma kwenye interview nikalamba asali bila ata connection pia wadau niliosoma nao wengine washalamba asali tayar Tena bila ata connection cha msingi nikujianda vzr yani ukubwa wa GPA ufanane na kitu ulichonacho kichwana pia kuomba Mungu sana
 
wadau nauliza aliyewahi kupata kaz serikalin kwa koz hiyo je yupo? na je ni ofisi gan au wizara gan? mtu anawez kupata kaz kupitia kozi hiyo. asante
Kwa serikalini toka mwaka Jana mwezi wa 9 mpk Leo nimeona mashirika ambayo yalitoa post ambazo mtu wa PR in marketing au marketing in PR anaweza kuomba
1 TRC ( post 50)
2 TCCL ( post 15)
3 TANESCO ( post 100) ilikuwa ni call center ila sijajua kama interview ilishafanyika tayar au bado
√ pia Kuna wadau niliona wamepata sehemu nyingine tofauta na ayo mashirika kwa njia ya database
 
Naomba nionge kwa upande wangu icho kitu sio kweli nimesoma iyo kozi nimemaliza tuu chuo sijakaa mtaa ata miezi 2 nikapata kazi ya assistant tutorial ilikuwa ni contract ! Kabla ata sijafikisha miezi 4 kwenye iyo kazi nikaomba kazi utumishi nikaenda Dodoma kwenye interview nikalamba asali bila ata connection pia wadau niliosoma nao wengine washalamba asali tayar Tena bila ata connection cha msingi nikujianda vzr yani ukubwa wa GPA ufanane na kitu ulichonacho kichwana pia kuomba Mungu sana
*assistant tutorial au sio
-ajira za public relation ni chache sana, ndio zile unakuta nafasi 2 waombaji 2000
 
Nafikiri kama hauna taarifa sahihi za taaluma hii sio sawa kutoa majibu ya kiujumla.

Muhusika kama utapata nafasi ya kusoma Public Relations and Marketing ni nzuri sana kwani utaweza kufanya kazi katika Sales, Marketing, Customer Services, na Public Relations au Information Officer.

Kupata kazi katika kipindi hiki kwa karibu kada zote ni shida, asikudanganye mtu sasa hivi ukisoma kada flani utapata kazi kiurahisi. Cha muhimu soma pata maarifa uje upambane mtaani. @ TEMBO WANGU
 
Nimesoma hizi comment nikatoka nnje nikamwangalia mama angu alivyo na matarajio makubwa kwangu.
Nikahisi huzuni sana moyoni kama maneno ya kukatishana tamaa haya yatazidi humu jukwaani afya ya akili itazidi kudumaa kwa baadhi ya watu.

TEMBO WANGU me sina cha kukushauri sana ila Muombe mungu sana.
 
Njoo upige kazi za sales ndugu yangu, malipo kwa kamisheni huku ukiendelea kuangalia ajira ya kudumu, wasikukatishe tamaa hakuna kozi ambayo ukitoka shule tu kazi ipo tayari labda kama mzazi wako ndio anakampuni atakuajiri.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo course kama lugha haipandi yaani kiingereza chako kuombea maji na kuandika vyema upo shallow( press release & news stories, usithubutu kuisoma utalamba sana garasa
 
Back
Top Bottom