Kozi yenye kuuzika

Kozi yenye kuuzika

Kwa tanzania hizi ndio kozi mama za uhandisi..

1. Civil engineering

2. Mechanical engineering

3. Electrical

Hizo ndizo kozi pekee naweza mshauri mtoto wa mkulima asome.

PS: Pamoja na hizo kuna hizi..

4. Architecture

5. Irrigation ya SUA.

6. Environmental engineering..
Hiyo irrigation kuna bro angu amegraduate pale SUA since 2018 ila naona hana progress zozote katika kutafuta ajira.
Kuhusu GPA , iko vizurii..
( walikuwa first intake kwa course hiyo pale SUA)
 
Hiyo irrigation kuna bro angu amegraduate pale SUA since 2018 ila naona hana progress zozote katika kutafuta ajira.
Kuhusu GPA , iko vizurii..
( walikuwa first intake kwa course hiyo pale SUA)
Yani first intake ya irrigation kutoka SUA ame graduate 2018? Unajua hii kozi imeanza lini na first intake wamemaliza mwaka gani?
 
1.Civil,
2.Chemical ,
3.Mechanical,
4.Industrial,
5. Electrical,
5.Agriculture,
6.Geology
7.Computer,
8.Telecommunication,
9.Electronics,
10.Oil and gas.

Hiyo ndio ranki ya top ten Good Engineering courses kwa sasa hapa Tanzania.

Ingawa zina mchango katika kupata kazi lakini mara nyingi kupata kazi ni bahati tu ya mtu, pia kujituma kipindi cha Field inasaidia sana.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
unapoandika mtiririko wa engineering,mechanical engineering ndo iwe inakaa namba moja ndo hub ya engineering field
 
unapoandika mtiririko wa engineering,mechanical engineering ndo iwe inakaa namba moja ndo hub ya engineering field
Sio kweli. Mech haiwezi kuwa msingi wa ELE. Kwa kifupi kuna kozi 3, civil, electrical na mech.

Hizi kwa pamoja ndio zinaunda msingi wa kozi nyingine za engineering. Na sio useme mech au civil au Electrical ndio hub ya engineering utakua wrong.
 
I'm right bro labda wewe huijui mechanical engineering
 
Back
Top Bottom