devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Mkuu hivi siku hizi watu wa clinical wanaweza kusoma MD?Soma Clinical officer kijana utakuja kunishukuru
Acha kumpoteza mwenzakoSoma Clinical officer kijana utakuja kunishukuru
Nipe jibu mkuu toa mawazo yako kozi gan inafaaAcha kumpoteza mwenzako
Kama kawaida unasoma tuMkuu hivi siku hizi watu wa clinical wanaweza kusoma MD?
Optometry, orthotic and prosthetics, physiotherapy, dental...Wakuu naombeni mnijuze kozi gan ya afya ambayo nikisoma diploma sitosota mtaani ....maisha magumu mno. ..ambayo nitaajiriwa haraka
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa clinical officer mavimavi siku hiziOptometry, orthotic and prosthetics, physiotherapy, dental...
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Ipo kcmcOrthotic na prosthetic diploma wanafundisha wap ..hapa Tanzania,??
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
HiZo kozi zinahusu Nini?Orthotic na prosthetic diploma wanafundisha wap ..hapa Tanzania,??
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app