Kozi za afya zenye ajira haraka

Kozi za afya zenye ajira haraka

Yeah udaktari sio CO tu inabidi uwaze hata kuwa bigwa maana ndo mwanzo huko kuhusu miaka ni kwamba msomi hazeeki na ndo maana unaeza soma na babu zako kozi moja,mi nachoona no kupenda unachokifanya ,kusoma kwa bidii,kuwa na mawazo makubwa kwa jambo unalolifanya hata ukilipwa laki mbili ukiwa na mipango mizuri unatoboa tu mbona kuna walimu wa shule za msingi wanapewa pesa ya kawaida lakini wanasomesha haohao madaktari na manesi ,ko maisha ya kesho ni mawazo yako uliojijengea kichwani mwako ,gharama za vyuo vya afya n kubwa hasa binafsi hawajaweka tu wanajua kuna unafuu baadae
 
Ni chaguzi lake akipenda kuteseka na itakua hvyo
Chuo tunasomea taaluma sio kazi,tujiandae kw sababu unaweza kusomea udaktari mtaani ukawa muuza duka, unaweza kusomea unesi mtaani ukawa mfugaji pia unaweza ukasomea ualimu mtaani ukawa kondakta wa daladala ,siwatishi najaribu kuwafunulia ukweli msioujua katika ulimwengu huu wenye maisha ya vurugu, siku hizi hata mtoto wa paka anaweza kufaulu kupitia njia za panya,sio kwamba kwa kuwa we ujapata mafanikio kwenye kozi fulani basi wote hamtofanikiwa,mnaweza soma kozi moja,level moja ya elimu lakini mafanikio mkatofautiana.ko ukipanda usingizi utavuna tongotongo ,we soma tu acha kujilinganisha na wengine .
 
Mimi mtoto wangu kafaulu vizuri ni wa kike kapata div 1 ya 14 combi ya science ila nilitaka aende 5 kwa kuwa yy alitaka Kuwa doctor. Ila selection iliotoka kachaguliwa kwenda chuo nursing cha same naomba kuuliza abadilishe course aombe pharmacy kwenye chuo kingine au clinical au engineering au course yyte nzuri mtakayo nishauri
 
Hata nursing nayo n nzuri

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Mimi mtoto wangu kafaulu vizuri ni wa kike kapata div 1 ya 14 combi ya science ila nilitaka aende 5 kwa kuwa yy alitaka Kuwa doctor. Ila selection iliotoka kachaguliwa kwenda chuo nursing cha same naomba kuuliza abadilishe course aombe pharmacy kwenye chuo kingine au clinical au engineering au course yyte nzuri mtakayo nishauri
Nursing tu inamfaa huyo ko usiwaze sana, kapelekwa eneo sahihi
 
Chuo tunasomea taaluma sio kazi,tujiandae kw sababu unaweza kusomea udaktari mtaani ukawa muuza duka, unaweza kusomea unesi mtaani ukawa mfugaji pia unaweza ukasomea ualimu mtaani ukawa kondakta wa daladala ,siwatishi najaribu kuwafunulia ukweli msioujua katika ulimwengu huu wenye maisha ya vurugu, siku hizi hata mtoto wa paka anaweza kufaulu kupitia njia za panya,sio kwamba kwa kuwa we ujapata mafanikio kwenye kozi fulani basi wote hamtofanikiwa,mnaweza soma kozi moja,level moja ya elimu lakini mafanikio mkatofautiana.ko ukipanda usingizi utavuna tongotongo ,we soma tu acha kujilinganisha na wengine .
Huna unalolijua tulia
 
Kwa maisha ya sasa, Mimi napenda mtu anaesomea Kozi/Taaluma ambayo inakupa nafasi ya wewe kujiajiri

Hata kama utaajiriwa mahali lakini jiandae uwe na kitu chako cha ziada kilichotokana na taaluma yako, Au ikishindikana basi uwe unapiga part time mahali pengine.

Wafanyakazi wengi wanaotoboa ni wale wenye vyanzo vya mapato vya ziada. Usitegemee kuajiriwa tu
 
Huna unalolijua tulia
Wee unajua nn ndio mwajiri au,afu kukandia kozi fulani na v gpa vya manati ndo kawaida yenu,kozi ya c.o wapo wengi sawa lkn fatilia sasa wanaomaliza mpk mwisho wapo wangapi na ufaulu wao upoje ndo uje kuniambia nitulie kinyume na hapo tutulie wote maana hatuna tunachokijua.we unagpa y moja afu unataka wakuajiri
 
Kasome diagnostic radiography mkuu, Hii kozi haina watu wengi sana kama ilivyo kwa kozi nyingine za afya.
 
Back
Top Bottom