DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
clinical officer mavimavi siku hizi
Nasisitiza hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
clinical officer mavimavi siku hizi
Clinical Medicine na Pharmaceutical Ni Taka Taka Siku Hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah umetishaKasomee nguvu za kiume kijana utakuja kunishukuru
Yeah udaktari sio CO tu inabidi uwaze hata kuwa bigwa maana ndo mwanzo huko kuhusu miaka ni kwamba msomi hazeeki na ndo maana unaeza soma na babu zako kozi moja,mi nachoona no kupenda unachokifanya ,kusoma kwa bidii,kuwa na mawazo makubwa kwa jambo unalolifanya hata ukilipwa laki mbili ukiwa na mipango mizuri unatoboa tu mbona kuna walimu wa shule za msingi wanapewa pesa ya kawaida lakini wanasomesha haohao madaktari na manesi ,ko maisha ya kesho ni mawazo yako uliojijengea kichwani mwako ,gharama za vyuo vya afya n kubwa hasa binafsi hawajaweka tu wanajua kuna unafuu baadaeAu sio
Wanasoma vzuri na uzur GPA imeshushwa zaman ilikua 3.5 now 3.0 unasoma MDMkuu hivi siku hizi watu wa clinical wanaweza kusoma MD?
Nampoteza kivip?Acha kumpoteza mwenzako
Ni chaguzi lake akipenda kuteseka na itakua hvyoNaona umeamua makusudi akateseka mtaani baada ya kumaliza elimu yake...mhurumie mleta uzi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo tunasomea taaluma sio kazi,tujiandae kw sababu unaweza kusomea udaktari mtaani ukawa muuza duka, unaweza kusomea unesi mtaani ukawa mfugaji pia unaweza ukasomea ualimu mtaani ukawa kondakta wa daladala ,siwatishi najaribu kuwafunulia ukweli msioujua katika ulimwengu huu wenye maisha ya vurugu, siku hizi hata mtoto wa paka anaweza kufaulu kupitia njia za panya,sio kwamba kwa kuwa we ujapata mafanikio kwenye kozi fulani basi wote hamtofanikiwa,mnaweza soma kozi moja,level moja ya elimu lakini mafanikio mkatofautiana.ko ukipanda usingizi utavuna tongotongo ,we soma tu acha kujilinganisha na wengine .Ni chaguzi lake akipenda kuteseka na itakua hvyo
Hata nursing nayo n nzuriMimi mtoto wangu kafaulu vizuri ni wa kike kapata div 1 ya 14 combi ya science ila nilitaka aende 5 kwa kuwa yy alitaka Kuwa doctor. Ila selection iliotoka kachaguliwa kwenda chuo nursing cha same naomba kuuliza abadilishe course aombe pharmacy kwenye chuo kingine au clinical au engineering au course yyte nzuri mtakayo nishauri
Nursing tu inamfaa huyo ko usiwaze sana, kapelekwa eneo sahihiMimi mtoto wangu kafaulu vizuri ni wa kike kapata div 1 ya 14 combi ya science ila nilitaka aende 5 kwa kuwa yy alitaka Kuwa doctor. Ila selection iliotoka kachaguliwa kwenda chuo nursing cha same naomba kuuliza abadilishe course aombe pharmacy kwenye chuo kingine au clinical au engineering au course yyte nzuri mtakayo nishauri
Huna unalolijua tuliaChuo tunasomea taaluma sio kazi,tujiandae kw sababu unaweza kusomea udaktari mtaani ukawa muuza duka, unaweza kusomea unesi mtaani ukawa mfugaji pia unaweza ukasomea ualimu mtaani ukawa kondakta wa daladala ,siwatishi najaribu kuwafunulia ukweli msioujua katika ulimwengu huu wenye maisha ya vurugu, siku hizi hata mtoto wa paka anaweza kufaulu kupitia njia za panya,sio kwamba kwa kuwa we ujapata mafanikio kwenye kozi fulani basi wote hamtofanikiwa,mnaweza soma kozi moja,level moja ya elimu lakini mafanikio mkatofautiana.ko ukipanda usingizi utavuna tongotongo ,we soma tu acha kujilinganisha na wengine .
Medical laboratory science au pharmaceutical scienceWakuu naombeni mnijuze kozi gan ya afya ambayo nikisoma diploma sitosota mtaani ....maisha magumu mno. ..ambayo nitaajiriwa haraka
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Wee unajua nn ndio mwajiri au,afu kukandia kozi fulani na v gpa vya manati ndo kawaida yenu,kozi ya c.o wapo wengi sawa lkn fatilia sasa wanaomaliza mpk mwisho wapo wangapi na ufaulu wao upoje ndo uje kuniambia nitulie kinyume na hapo tutulie wote maana hatuna tunachokijua.we unagpa y moja afu unataka wakuajiriHuna unalolijua tulia
Halo hapa sio majanga kweli???Medical laboratory science au pharmaceutical science
Hizo zinakupa nafasi za kujiajiri au kuajiriwa.Halo hapa sio majanga kweli???