Kozi za Engineer

Kozi za Engineer

Bana, kapiga shule mkuu, utakua field specialist au kitengo cha testing but ukakaze kwa field yako Petroleum Eng, uki break out ndio utaona raha yake, ila inachukua mda ku break out, inaweza chukua hata mwaka... Ila
LTK hapo umecheza tu akili yetu tu...lakini in reality its wise to say zile eng. ndio the earliest lkn sio kwamba ndio zilileta eng. zingine
 
Last edited by a moderator:
Nijulisheni industrial engineering wakuu iko vipi? Parts zake za kusoma na market yake

hao wao wamekaa kimakerking zaidi. wao bwana ukitaka hata mabinti wazuri engineering wako huko aiseee. So deeply wako co kimauzo ya engineering products.
 
nifafanulie mkuu,vp iko poa na msuli wake vp?
 
Bana, kapiga shule mkuu, utakua field specialist au kitengo cha testing but ukakaze kwa field yako Petroleum Eng, uki break out ndio utaona raha yake, ila inachukua mda ku break out, inaweza chukua hata mwaka... Ila

Hapa LTK umeniacha aseee....
 
ni kozi ambazo zinaendana tofauti petroleum engineer anaweza fanya kazi in both upstream(production of oil and gas) and downstream(processing and refineries) sectors!while chemical engineer ni kwe downstream sector(processing and refineries of crude oil and gas) only
 
Go ahead and tell us something about petroleum chemistry and petroleum geology...
You'll find out that you went the opposite direction at some points
★not an offence nor an insult
 
Ni kweli kabisa, katika history mechanical engineering ndo ya mwanzo kabisa, na ni kweli electrical engineering ndo ilizaa telecom na baadae computer ambayo ndani yake kuna zao la IT na kuboreshwa kuwa ICT
 
Mechanical Engineering
Civil Engineering
Electrical Engineering

Course tajwa hapo juu, ndizo zilizo zalisha course nyinge za Engineering.

Mfano unapozungumzia Architectural amezaliwa na Civil, Tellecom, Computer wametoka kwenye Electrical na Automobile, Aerospace wametoka kwa Mechanical...

Ivi agriculture engineering ametokea kwenye kozi zipi tajwa hapo juu....
 
xir jyerphy
ni hivi mkuu, kwenye hizi Campony za mafuta zinapo mchukua mtu, kwanza ni lazima zimpige train na presentation daily mkuu, mfano unaweza kua
-Geologist
-Geophysist
-Reservoir Engineer
-Field Eng
na baadhi ya vitengo vingine, ili uweze ku breakout inabidi ufikishe point flani na mara nyingi huchukua mda kidogo, na unapo breakout ndipo unapo pewa majikumu sasa rasmi, na unapo kua kama field specialist per day unapo kua kule offshore unaweza jikuta unachuku $200.. ila adi uwe ume breakout. But Geologist and Reservoir wanakula mawe zaid pande hizo.... nawakubari sana hawa jamaa, huko ndio kuna ma engineer sio hawa wa humu mjini ni wahuni tu

Hapa LTK umeniacha aseee....
 
Last edited by a moderator:
mnakurupuka tuu hamjui mnachokiandika wakuu kuna vitu wanaita BASIC ENGINEERING COURSES someni mzijue zen mje mjikosoe wenyewe
 
Back
Top Bottom