LTK hapo umecheza tu akili yetu tu...lakini in reality its wise to say zile eng. ndio the earliest lkn sio kwamba ndio zilileta eng. zingine
Nijulisheni industrial engineering wakuu iko vipi? Parts zake za kusoma na market yake
nifafanulie mkuu,vp iko poa na msuli wake vp?
Bana, kapiga shule mkuu, utakua field specialist au kitengo cha testing but ukakaze kwa field yako Petroleum Eng, uki break out ndio utaona raha yake, ila inachukua mda ku break out, inaweza chukua hata mwaka... Ila
ni kozi ambazo zinaendana tofauti petroleum engineer anaweza fanya kazi in both upstream(production of oil and gas) and downstream(processing and refineries) sectors!while chemical engineer ni kwe downstream sector(processing and refineries of crude oil and gas) only
Mechanical Engineering
Civil Engineering
Electrical Engineering
Course tajwa hapo juu, ndizo zilizo zalisha course nyinge za Engineering.
Mfano unapozungumzia Architectural amezaliwa na Civil, Tellecom, Computer wametoka kwenye Electrical na Automobile, Aerospace wametoka kwa Mechanical...
Hapa LTK umeniacha aseee....