till hustling
Member
- Mar 7, 2015
- 36
- 12
Mimi ni mwanafunzi wa form six ninayesoma mchepuo wa HGL.
Naomba kuuliza kuhusu kozi nzuri za kusoma nikifika Chuo Kikuu kulingana na masomo ambayo ninasoma kidato cha tano na cha sita (advanced level).
Ahsanteni wakuu!