Kozi za kusoma Chuo Kikuu kwa aliyesoma HGL

Kozi za kusoma Chuo Kikuu kwa aliyesoma HGL

Mimi ni mwanafunzi wa form six ninayesoma mchepuo wa HGL.

Naomba kuuliza kuhusu kozi nzuri za kusoma nikifika Chuo Kikuu kulingana na masomo ambayo ninasoma kidato cha tano na cha sita (advanced level).

Ahsanteni wakuu!
course ya kusomea chuo kikuu inategemeana na matokeo yako ya form six, so wait until you get your result
 
Mimi ni mwanafunzi wa form six ninayesoma mchepuo wa HGL.

Naomba kuuliza kuhusu kozi nzuri za kusoma nikifika Chuo Kikuu kulingana na masomo ambayo ninasoma kidato cha tano na cha sita (advanced level).

Ahsanteni wakuu!

tuliza mshoño kwanza matokeo yatoke ndo uje jamvin
xx ukipat ki3 chako cha mwsho huwez kuja mliman,au ardh
HGL
LLB
PSPA
LMV,km unacrd/pass ya phyisics n
#
HR
hzo juu km utachemk ufaul nenda hata ualim chuo cha kata udom,ruco huko kutakuwa kunakufaa
bt ukitak kuja o kubak mjin tia one o two kali
 
Back
Top Bottom