till hustling
Member
- Mar 7, 2015
- 36
- 12
Hahah hapo kwenye uhasibu na ugavi labda unamaanisha akasomee ugani mkuuSoma Sheria(llb),hata hiyo iliyotajwa health Services management,kama ulifanya myema hesabu O level wawezafanya Uhasibu hata ugavi,all the best!
Usichague ualimu dogo professional ya kikuda walionitangulia nimewazidi maendeleo mpaka sasa!
Usichague ualimu dogo professional ya kikuda walionitangulia nimewazidi maendeleo mpaka sasa!
Public administration
We unaanza kuulizia faculty wakati hata mtihani haujafanya..! Kuchagua course ya kusoma inategemea na matokeo yako.
Ukifaulu nenda kasome Health service management, Mzumbe University.. Hautajuta dogo
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Una professional gan?