Kozi za kusoma online

Kozi za kusoma online

mbalamula

Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
23
Reaction score
5
Habari wajamii?
Samahani naomba msaada kwa anayejua chuo cha hapa Tanzania kinachotoa kozi za MOnitoring and Evaluation au Project management hata kwa njia ya net naomba link ya chuo cha uhakika sio matapeli
AHSANTENI
 
Tanzania institute of project management "www.tipm.ac. tz"
 
Hebu tafuta chuo hiki kinaitwa MsTCDC. Kilo Arusha na kuna kozi hiyo ya M&E japo ni ya muda mfupi.
 
Ahsanteni sana wadau nimefenikiwa kupata info,Mungu awabariki
 
Back
Top Bottom