Kozi zenye soko katika taasisi ya elimu

Kozi zenye soko katika taasisi ya elimu

Cobrahypnosis

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2021
Posts
362
Reaction score
676
Habarini wadau.

Nimeombwa ushauri na mdau wangu, anayo taasisi ya elimu inayotoa kozi mbili. ameniomba ushauri kua katika taasisi yake anataka kuongeza kozi za kilimo na mifugo, na kozi nyingine za kawaida.

Je, kwa soko la sasa au kibiashala ni kozi zipi zene soko kwa sasa kwa ngazi ya certificate na diploma
 
Habarini wadau. Nimeombwa ushauri na mdau wangu, anayo taasisi ya elimu inayotoa kozi mbili. ameniomba ushauri kua katika taasisi yake anataka kuongeza kozi za kilimo na mifugo, na kozi nyingine za kawaida, je kwa soko la sasa au kibiashala ni kozi zipi zene soko kwa sasa kwa ngazi ya certificate na diploma
Kuna hizi kozi zinatajwa pamoja na IT.. mfano diploma of information technology in accountancy, ni nzuri na soon zitakua na wanafunzi wengi kwa sababu ya mahitaji yake.
 
Procurement and supply,social work,guidance and counselling
Plumbering,mechanical engineering e.t c
chagua kati ya hizo.
 
Chukua pharmacy cha kuzingatia ni kusoma kwa bidii, unaweza kuajiriwa au kujiajiri vilevile mtu anaweza kutumia cheti chako ukaingiza mpunga Kama kawaida
 
Kuna hizi kozi zinatajwa pamoja na IT.. mfano diploma of information technology in accountancy, ni nzuri na soon zitakua na wanafunzi wengi kwa sababu ya mahitaji yake.

Ahsante
 
Back
Top Bottom