ngotho
Senior Member
- Jun 18, 2021
- 142
- 111
- Thread starter
- #21
asante sana mkuu..A level nilisoma HGL chuo nikasoma bachelor of information management. Mwanzoni nilikua na wasiwasi kama wako lakini kiukweli sikukutana na maajabu yoyote hadi namaliza. Business information tech ilikua moja ya modules nilizosoma, kila la kheri mkuu umechagua course sahihi kabisa.
napata sana nguvu kwa ushauri wa wana jf..
nawashukuru sana wakuu wangu.. na ndo maana wahenga walisema penye wazee hapaharibik neno.. nakubali sana..