Hakuna biashara mbovu kwenye logistics kama double handling. Kuna risks kubwa hapo na nyingi. Sio kuleta Panamax tu na kushusha na kupakia meli ndogo. Hizo charges na insurance in terms of wreakage au losts of shipments ata cover nani? Documentation ku amend vessels na bl atalipia nani?
Halafu msome jamaa hapo
Mkikuyu- Akili timamu anapokwambia kuhusu cargo volume. Kuwa transshipment hub sio kugeuzwa port of offloading tu, pia meli zitahitaji mzigo WA kuondoka nao after berth. Kitu ambacho kitakuwa ni kigumu kwa hapo lamu.
Panamax ilikuja bongo kipindi cha nyuma kidogo, operations zake sio za mdomo mdomo. Inahitaji mizigo ya uhakika haswa na robust logistics network. Kwa Tz nature imetupendelea from the size of land, what we produce and abundant resources. Pia tumejiunga kwa mtandao WA barabara na reli kwa majirani zetu wote.
Mchina hadi Sasa ana ndoto ya kujenga bagamoyo.. Bado haamini ana weweseka tu. Maana anajua position ya Bagamoyo na Tz as a gateway to East, Central and Southern Africa. Ila niko na wasiwasi... Lamu ni mnaenda kwa kukimbizwa na mchina kutoka Mombasa as mme default kulipa madeni ama ni nini? Hii lamu ya unfinished three berths ndio mnajipiga nayo kifua kushindana na Dar au Tanga? Hiyo labda ishindane na Nyamisati port.