That's a big fat lie.Actually bigger ships are cheaper to run per mile than smaller ships. Watch this video and educate yourself.1.Singapore is a global trade hub, you will find all manner of ships there
2. Those huge ships are expensive to run per mile than smaller ships. The volume of cargo to Lamu in global standards is a pittance.
3.Jubilee likes fellows like you and your ilk..Go figure
Cheaper if the well/optimally loaded. Post Panamax kujaza mizigo sio mchezo, Utaishi port ukichelewesha wengineThat's a big fat lie.Actually bigger ships are cheaper to run per mile than smaller ships. Watch this video and educate yourself.
Post panamax ship itajaziwa China. Na China ina mizigo ya kutosha. China inaweza kujaza post panamax ships nyingi kwa siku. Usisahau China is the factory of the world.Cheaper if the well/optimally loaded. Post Panamax kujaza mizigo sio mchezo, Utaishi port ukichelewesha wengine
Halafu uweke mzigo lamu halafu? Eti watu wa nchi zingine wakujie? Hehehe kwani hamjui ETA is king of shipping business? Jaribuni hio biashara muonePost panamax ship itajaziwa China. Na China ina mizigo ya kutosha. China inaweza kujaza post panamax ships nyingi kwa siku. Usisahau China is the factory of the world.
Hakuna mambo ya nyinyi kuendea mizigo Lamu. Maersk wanafanya end to end logistics. Yaani wao ndio wanaleta mizigo Lamu kutumia post panamax na wao wao (maersk) ndio wanasupply cargo to other African ports kwa kutumia smaller ships. Yaani Maersk inamiliki meli kubwa na meli ndogo na tutawaruhusu kutumia bandari ya Lamu kufanya transshipment business yao. Nyinyi mtapokea Maersk ship ndogo ilhali Lamu port itapokea Maersk ship kubwa kiwango cha post-panamax.Halafu uweke mzigo lamu halafu? Eti watu wa nchi zingine wakujie? Hehehe kwani hamjui ETA is king of shipping business? Jaribuni hio biashara muone
Hakuna biashara mbovu kwenye logistics kama double handling. Kuna risks kubwa hapo na nyingi. Sio kuleta Panamax tu na kushusha na kupakia meli ndogo. Hizo charges na insurance in terms of wreakage au losts of shipments ata cover nani? Documentation ku amend vessels na bl atalipia nani?Hakuna mambo ya nyinyi kuendea mizigo Lamu. Maersk wanafanya end to end logistics. Yaani wao ndio wanaleta mizigo Lamu kutumia post panamax na wao wao (maersk) ndio wanasupply cargo to other African ports kwa kutumia smaller ships. Yaani Maersk inamiliki meli kubwa na meli ndogo na tutawaruhusu kutumia bandari ya Lamu kufanya transshipment business yao. Nyinyi mtapokea Maersk ship ndogo ilhali Lamu port itapokea Maersk ship kubwa kiwango cha post-panamax.
Waambie hawa kila siku nawaeleza kuwa mradi wao wa lapset ni ghost project wanafanya kujizima data tuuABC zote za huo mchezo nazijua, Wakati ni mwalimu mzuri utaniambia
Maersk atalipishwa charges kidogo kushinda kampuni zingine maana hii ni special arrangement. Lamu port haitakuwa port ya kwanza kufanya transhipment. Kama huelewi biashara ya transhipment si unyamaze tu. Hizo charges na insurance maersk atashughulikia. Gharama zote za port Maersk atalipishwa pesa kidogo maana ana special arrangement na serikali ya Kenya. Kampuni yoyote ikipewa offer hii itaikubali haraka sana. Hususan kampuni ambayo inamiliki meli zote kubwa na ndogo na inataka kufanya transhipment business. Itakubali kwa sababu inarahisisha kazi yao hususan ikiwa wameingia ubia na serikali ya Kenya.Hakuna biashara mbovu kwenye logistics kama double handling. Kuna risks kubwa hapo na nyingi. Sio kuleta Panamax tu na kushusha na kupakia meli ndogo. Hizo charges na insurance in terms of wreakage au losts of shipments ata cover nani? Documentation ku amend vessels na bl atalipia nani?
Halafu msome jamaa hapo Mkikuyu- Akili timamu anapokwambia kuhusu cargo volume. Kuwa transshipment hub sio kugeuzwa port of offloading tu, pia meli zitahitaji mzigo WA kuondoka nao after berth. Kitu ambacho kitakuwa ni kigumu kwa hapo lamu.
Panamax ilikuja bongo kipindi cha nyuma kidogo, operations zake sio za mdomo mdomo. Inahitaji mizigo ya uhakika haswa na robust logistics network. Kwa Tz nature imetupendelea from the size of land, what we produce and abundant resources. Pia tumejiunga kwa mtandao WA barabara na reli kwa majirani zetu wote.
Mchina hadi Sasa ana ndoto ya kujenga bagamoyo.. Bado haamini ana weweseka tu. Maana anajua position ya Bagamoyo na Tz as a gateway to East, Central and Southern Africa. Ila niko na wasiwasi... Lamu ni mnaenda kwa kukimbizwa na mchina kutoka Mombasa as mme default kulipa madeni ama ni nini? Hii lamu ya unfinished three berths ndio mnajipiga nayo kifua kushindana na Dar au Tanga? Hiyo labda ishindane na Nyamisati port.
Lamu port itaishinda Tanga port in the next five to ten years in terms of volume of cargo handled. Watch this space.Hakuna biashara mbovu kwenye logistics kama double handling. Kuna risks kubwa hapo na nyingi. Sio kuleta Panamax tu na kushusha na kupakia meli ndogo. Hizo charges na insurance in terms of wreakage au losts of shipments ata cover nani? Documentation ku amend vessels na bl atalipia nani?
Halafu msome jamaa hapo Mkikuyu- Akili timamu anapokwambia kuhusu cargo volume. Kuwa transshipment hub sio kugeuzwa port of offloading tu, pia meli zitahitaji mzigo WA kuondoka nao after berth. Kitu ambacho kitakuwa ni kigumu kwa hapo lamu.
Panamax ilikuja bongo kipindi cha nyuma kidogo, operations zake sio za mdomo mdomo. Inahitaji mizigo ya uhakika haswa na robust logistics network. Kwa Tz nature imetupendelea from the size of land, what we produce and abundant resources. Pia tumejiunga kwa mtandao WA barabara na reli kwa majirani zetu wote.
Mchina hadi Sasa ana ndoto ya kujenga bagamoyo.. Bado haamini ana weweseka tu. Maana anajua position ya Bagamoyo na Tz as a gateway to East, Central and Southern Africa. Ila niko na wasiwasi... Lamu ni mnaenda kwa kukimbizwa na mchina kutoka Mombasa as mme default kulipa madeni ama ni nini? Hii lamu ya unfinished three berths ndio mnajipiga nayo kifua kushindana na Dar au Tanga? Hiyo labda ishindane na Nyamisati port.
Unapayuka tu Tonny, halafu wewe ni mchumi ila hujielewi kabisa. Hao Maersk wakilipia hizo extra charges unadhani watazi recover vipi kama sio kuongeza freight charges? After that wataweza kuleta ushindani na shippers wengine?Maersk atalipishwa charges kidogo kushinda kampuni zingine maana hii ni special arrangement. Lamu port haitakuwa port ya kwanza kufanya transhipment. Kama huelewi biashara ya transhipment si unyamaze tu. Hizo charges na insurance maersk atashughulikia. Gharama zote za port Maersk atalipishwa pesa kidogo maana ana special arrangement na serikali ya Kenya. Kampuni yoyote ikipewa offer hii itaikubali haraka sana. Hususan kampuni ambayo inamiliki meli zote kubwa na ndogo na inataka kufanya transhipment business. Itakubali kwa sababu inarahisisha kazi yao hususan ikiwa wameingia ubia na serikali ya Kenya.
Sio lamu port itaishinda Tanga, bali in a near future Tanga itaishinda Mombasa port. While lamu itabaki hivyo hivyo hakuna development yoyote.Lamu port itaishinda Tanga port in the next five to ten years in terms of volume of cargo handled. Watch this space.
Mwaka wa kumi huu unaenda unasema mradi unazinduliwa June!? In ten years mmejenga only three berths na hazijakamilika vizuri na bado miundombinu mingine kama barabara bado..Mradi unaanza rasmi June. Endelea kuiita white elephant. Mradi ukizinduliwa June nitakukumbusha matamshi yako.
Wacha uongo. Sasa mbona unadanganya watu kwamba Mchina ameinunua Maersk? Maersk ni kampuni ya kibinafsi inayomilikiwa na tycoons kutoka Denmark. Shareholders ndio hawa hapa chini na hawa sio Wachina. Hawa ni wazungu.Unapayuka tu Tonny, halafu wewe ni mchumi ila hujielewi kabisa. Hao Maersk wakilipia hizo extra charges unadhani watazi recover vipi kama sio kuongeza freight charges? After that wataweza kuleta ushindani na shippers wengine?
And for the record hiyo Maersk unayopigia kelele hapa ni kama haipo tena vile. Operations zake hapo Kenya zipo vipi currently? Mchina kashainunua hiyo hivyo haina mandate ya ku-negotiate any tangible deal.
| Share capital | Votes | |
| A. P Møller Holding A/S, Copenhagen, Denmark | 41.61% | 51.45% |
| A.P. Møller og Hustru Chastine Mc-Kinney Møllers Familiefond, Copenhagen, Denmark | 9.46% | 13.45% |
| Den A.P. Møllerske Støttefond, Copenhagen, Denmark | 3.33% | 6.14% |
| A.P. Møller - Mærsk A/S has approximately 76,000 registered shareholders. |
Wenye meli zao Maersk wanaingoja Lamu kwa hamu, sasa nani ana muda wa kusikiza maoni yako wewe hapo na kibaiskeli chako? Hadi tayari wamefanya commitment ya kuitumia bandari ya Lamu na kuiunganisha na bandari zingine 300 kote duniani. World’s largest container shipping firm eyes Kenya's Lamu PortPanamax and post Panamax ships have a very high ETA..Because the only way they can make profit is on long voyages. So forget about those landing in lamu unless they are coming from the far ends of the pacific.(Chile/Hawaii)
China/SouthEast Asia/ Japan to east Africa coast is a very short voyage, no shipping company will deploy Panamax on that route..
Ofcourse you know our main trading partners are in asia..Go figure
Still bado wewe ni amateur kwenye haya maswala ndio maana unajishikisha kwenye kila ka point uchwara bila justifications zinazoeleweka.Wacha uongo. Sasa mbona unadanganya watu kwamba Mchina ameinunua Maersk? Maersk ni kampuni ya kibinafsi inayomilikiwa na tycoons kutoka Denmark. Shareholders ndio hawa hapa chini na hawa sio Wachina. Hawa ni wazungu.
Shareholders with more than 5% of share capital or votes
Shareholders according to the Danish Companies Act § 55 are:
Share
capitalVotes A. P Møller Holding A/S, Copenhagen, Denmark 41.61% 51.45% A.P. Møller og Hustru Chastine Mc-Kinney Møllers Familiefond, Copenhagen, Denmark 9.46% 13.45% Den A.P. Møllerske Støttefond, Copenhagen, Denmark 3.33% 6.14% A.P. Møller - Mærsk A/S has approximately 76,000 registered shareholders.
Major Shareholders - A.P. Møller - Mærsk A/S
The Investor Relations website contains information about A.P. Møller - Mærsk A/S's business for stockholders, potential investors, and financial analysts.investor.maersk.com
Wacha ujinga. Katika biashara hii ya shipping hatuangalii idadi ya nchi inayopakana na Tanzania au Kenya. Haijalishi hata kama nchi milioni moja zinapakana na Tanzania. Kitu kinachozingatiwa pekee ni idadi ya TEUs zinazopakuliwa katika bandari ya Dar es Salaam na bandari ya Mombasa.Still bado wewe ni amateur kwenye haya maswala ndio maana unajishikisha kwenye kila ka point uchwara bila justifications zinazoeleweka.
Sasa unajua Maersk na utatu wao wa Damco, APM na Safmarine ulivyo na unavyo operate in logistics and shipping businesses?
Halafu ulizia influence ya Hapag na Cosco katika operations za hizo lines.
Na pia kwa Maersk northern corridor ambayo ni Kenya ina serve Kenya, Uganda, S. SUDAN and parts of Rwanda. While central corridor in Tanzania ina serve Tanzania, Burundi, Zambia, Congo, Malawi na parts of Rwanda. Sasa kama ni wewe uta develop corridor ipi ambayo ni lucrative in business?
Karibu.
Takwimu za vichochoroni hizo kijana. Central corridor ndio the most lucrative part kwa shipping and logistics operations. Pamoja na kwamba China imeshapata assurance hapo Mombasa ila bado unaona vile inapigana vikumbo ku revive bagamoyo port. Lobbying haziishi maana wanajua what they are missing and where they are aiming.Wacha ujinga. Katika biashara hii ya shipping hatuangalii idadi ya nchi inayopakana na Tanzania au Kenya. Haijalishi hata kama nchi milioni moja zinapakana na Tanzania. Kitu kinachozingatiwa pekee ni idadi ya TEUs zinazopakuliwa katika bandari ya Dar es Salaam na bandari ya Mombasa.
Mombasa port inahandle 34 million tonnes of cargo p.a while Dar es Salaam port handles 17 million tonnes of cargo p.a. Of course Mombasa port is more profitable and hence Northern corridor is more profitable than central corridor.
Tafuta facts na data kisha uje tuongee. Maana naona nitapoteza muda mwingi kukufunza haya mambo. Karibu kila kitu ulichosema kuhusu Mombasa port ni wrong. Sasa fanya research yako ndio uje hapa.Takwimu za vichochoroni hizo kijana. Central corridor ndio the most lucrative part kwa shipping and logistics operations. Pamoja na kwamba China imeshapata assurance hapo Mombasa ila bado unaona vile inapigana vikumbo ku revive bagamoyo port. Lobbying haziishi maana wanajua what they are missing and where they are aiming.
Unapoongelea cargo volume the amount should reflect with what is found on the ground. Like hizo consignment zote za Mombasa zinakwenda wapi? Mko short in population, biashara ya mizigo ya volume kubwa mnafanya na majirani. Sijui mna export nini kwa wingi kupitia bahari. Na pia kwa importation bado hamna soko kubwa na viwanda vikubwa kwa that volume of importation.
S. Sudan hakuna kitu huko... UG half half na bongo na Rwanda pia.. Sasa mna import kuliko Dar mizigo gani? Kwamba hujaona nchi ambazo Dar port ina hudumia? Mna consumption kubwa ya raw materials kuliko ukanda huu wa central corridor? Kuna road link huko northern yote kushinda central?
Asante,Tafuta facts na data kisha uje tuongee. Maana naona nitapoteza muda mwingi kukufunza haya mambo. Karibu kila kitu ulichosema kuhusu Mombasa port ni wrong. Sasa fanya research yako ndio uje hapa.