joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hivi wewe shule ulienda kufuata nini?, mbona kichwa yako ni mbovu kiasi hicho?, hivi hata unaelewa kitu gani kinachozungumzwa?. Naomba uniambie hili swali lako hasa limelenga nini, kwasababu taarifa inasema KQ haiwezi kuendesha JKIA kwasababu haina uwezo wa pesa, na inajulikana kwamba KQ kwasasa ipo ICU, hali yake ni mbaya sana, sasa wewe unasema ATCL, umechanganyikiwa?Leo ndio nimeamini kwamba wewe huwa hauna uwezo wa kung'amua mambo virahisi zaidi ya ushabik wa peni mbili. Kwani ATCL ndio huwa inasimamia shughuli za kibiashara JNIA?
Maoni yako peleka chooni kwako, eti hakuna siku utawasikia wakenya wakisema rais UK amenunua ndege. Kwani lini mmenunua ndege nyie, na wanasema magu amenunua sababu magufuli ndio amefufua hilo shirika, aliahidi kwenye kampeni, ametekeleza, amewakopesha ATCL. Sasa ulitaka waseme nani amenunua, atcl?Hilo jambo kwa kweli mkikosa kuwa makini litakuja kuwacost sana huko mbele. Huwa linanishangaza sana. Hakuna siku utawasikia wakenya wakisema eti rais U.K. amenunua ndege au eti U.K amejenga viwanda. Wakenya huwa wanaitaja KQ au waziri wa viwanda. Rais huwa anatajwa tu wakati kuna matukio ya maana. Kama akitia saini mkataba au akiwa na rais mwingine wakipanga za SGR au ujenzi wa kiwanda flani au barabara flani. Mnavokuza hawa miungu watu mtakuja kujivuruga bure. Maoni yangu tu.
Marekani Trump anajenga ukuta wake "Trump wall", Obama aliweka bima ya afya "Obama Care" Ukienda uingereza kila kitu hufanywa kwa Jina la malkia "in the name of the Queen". Hizo ndizo demokrasia ambazo mnaenzi kama wakenya..Mkiona JPM amejenga SGR mnaweweseka ilihali marekani wange batiza hio project jina la rais wao..Hilo jambo kwa kweli mkikosa kuwa makini litakuja kuwacost sana huko mbele. Huwa linanishangaza sana. Hakuna siku utawasikia wakenya wakisema eti rais U.K. amenunua ndege au eti U.K amejenga viwanda. Wakenya huwa wanaitaja KQ au waziri wa viwanda. Rais huwa anatajwa tu wakati kuna matukio ya maana. Kama akitia saini mkataba au akiwa na rais mwingine wakipanga za SGR au ujenzi wa kiwanda flani au barabara flani. Mnavokuza hawa miungu watu mtakuja kujivuruga bure. Maoni yangu tu.
Mtu akikashifiwa inamaana kwamba anachukiwa? Ila msiwe na presha, nimewaelewa sana majirani. Jiwe ananunua korosho, anazibangua na anaziuza yeye mwenyewe. Jiwe anatandaza reli kwa mikono yake na anapaka rangi ndege yeye mwenyewe. Thamani ya shilingi nayo inaimarika sauti yake ikisika tu. Hadi na wake zenu wanapata uja uzito kwa maamuzi ya Jiwe. Mbona isiwe hivyo wakati fomu ya kuwania urais aliichukua yeye mwenyewe?Marekani Trump anajenga ukuta wake "Trump wall", Obama aliweka bima ya afya "Obama Care" Ukienda uingereza kila kitu hufanywa kwa Jina la malkia "in the name of the Queen".
YOU JUST HATE JPM, BUT YOUR HATE DOES NOTHING TO HIM..ANASONGA MBELE
Maoni yako peleka chooni kwako. Sasa ulitaka waseme nani amenunua, atcl?
Na bado, wivu wenu kwa magu utawatesa sana, yupo hadi 2025. Sent using Jamii Forums mobile app
KQ ipo ICU eeh? ATCL nayo inapaa kote kote na inapata faida ya ajabu kwasababu ipo maternity. Tuko pamoja sanaaa!Hivi wewe shule ulienda kufuata nini?, mbona kichwa yako ni mbovu kiasi hicho?, hivi hata unaelewa kitu gani kinachozungumzwa?. Naomba uniambie hili swali lako hasa limelenga nini, kwasababu taarifa inasema KQ haiwezi kuendesha JKIA kwasababu haina uwezo wa pesa, na inajulikana kwamba KQ kwasasa ipo ICU, hali yake ni mbaya sana, sasa wewe unasema ATCL, umechanganyikiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugua polepole...Obama ndie analipa fidia za obama care? Yeye ndie anapatiana matibabu?Mtu akikashifiwa inamaana kwamba anachukiwa? Ila msiwe na presha, nimewaelewa sana majirani. Jiwe ananunua korosho, anazibangua na anaziuza yeye mwenyewe. Jiwe anatandaza reli kwa mikono yake na anapaka rangi ndege yeye mwenyewe. Thamani ya shilingi nayo inaimarika sauti yake ikisika tu. Hadi na wake zenu wanapata uja uzito kwa maamuzi ya Jiwe. Mbona isiwe hivyo wakati fomu ya kuwania urais aliichukua yeye mwenyewe?
Kama kawaida yetu huwa atuanzi safari bila kufanya timing, biashara haitaki kukurupuka kwa misingi ya kutafuta SIFA, matokeo yake unaanzisha route baada ya wiki moja unaifuta.joto la jiwe safari za Mumbai hadi lini? Geza Ulole
ATCL ndio shirika la ndege pekee linalotengeneza faida hapa East Africa, Rwanda na KQ bado ni hasara.KQ ipo ICU eeh? ATCL nayo inapaa kote kote na inapata faida ya ajabu kwasababu ipo maternity. Tuko pamoja sanaaa!
ATCL ndio shirika la ndege pekee linalotengeneza faida hapa East Africa, Rwanda na KQ bado ni hasara.
Kumbuka soko la ndani la Tanzania linatosha kwa ATCL kutengeneza faida kwasababu ya idadi ndogo ya wafanyakazi na ndege chache" Small overhead costs", Tanzania ni kubwa hivyo usafiri wa anga unapata abiria wengi, Kenya na Rwanda ni nchi ndogo ndogo, domestic air transport sio muhimu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
ATCL ndio shirika la ndege pekee linalotengeneza faida hapa East Africa, Rwanda na KQ bado ni hasara.
BASHITE hawezi kuwa next prezida wa tanzania hata kwa dakika mojaUgua polepole...Obama ndie analipa fidia za obama care? Yeye ndie anapatiana matibabu?
JPM yupo hadi 2025, na baadaye bashite achukue urais.. sasa kama munaumia na majonzi, muwe tayari safari ni ndefu
[emoji23][emoji23][emoji23]Hehehe so why is Luxembourg doing well in Domestic air business than Tz? Ndio ujue unafikiria na matako kabisa
Jiwe angetawala hadi 2035 ndio ingependeza zaidi, ila mimi sina roho mbaya, huwa siwaombei mabaya jirani zangu. Maanake meizi inavyoendelea kusonga ndio nati za mzee kichwani zinavoendea kuachilia. [emoji1]Ugua polepole...Obama ndie analipa fidia za obama care? Yeye ndie anapatiana matibabu?
JPM yupo hadi 2025, na baadaye bashite achukue urais.. sasa kama munaumia na majonzi, muwe tayari safari ni ndefu
Tanzania ni nchi inaheshimu katiba..2025 Jiwe ataenda kufuga mbuziJiwe angetawala hadi 2035 ndio ingependeza zaidi, ila mimi sina roho mbaya, huwa siwaombei mabaya jirani zangu. Maanake meizi inavyoendelea kusonga ndio nati za mzee kichwani zinavoendea kuachilia. [emoji1]