joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hivi wewe shule ulienda kufuata nini?, mbona kichwa yako ni mbovu kiasi hicho?, hivi hata unaelewa kitu gani kinachozungumzwa?. Naomba uniambie hili swali lako hasa limelenga nini, kwasababu taarifa inasema KQ haiwezi kuendesha JKIA kwasababu haina uwezo wa pesa, na inajulikana kwamba KQ kwasasa ipo ICU, hali yake ni mbaya sana, sasa wewe unasema ATCL, umechanganyikiwa?Leo ndio nimeamini kwamba wewe huwa hauna uwezo wa kung'amua mambo virahisi zaidi ya ushabik wa peni mbili. Kwani ATCL ndio huwa inasimamia shughuli za kibiashara JNIA?
Sent using Jamii Forums mobile app