KQ CEO ASHAONGEA, WENYE POVU KUJENI MZIMWAGE HUKU

KQ CEO ASHAONGEA, WENYE POVU KUJENI MZIMWAGE HUKU

Unaongea kitoto sana wewe pimbi; hujui kwamba jukwaa hili ni la watu makini na matured? Shaaaa, shame on you!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda public place yeyote tanzania kaingie chooni ndiyo utawajua watanzania, nadhani pimbi ni wewe, nenda airport, nenda kariakoo sokoni , nenda feri , halafu nenda kenya popote
 
You seem you are out of your senses, umesema first floor in watu ngapi?
Sasa unataka kutuambia nini Wewe chizi?, unataka kusema hapo ipo katika normal routes zake?, acha ujinga wewe, katika akili zako hiyo ndege itashusha na kupakia watu wote kwa kutumia hizo ngazi ndogo wote kupitia First floor, watu wote 480 watumie hizo ngazi mbili ndogo ktk floor moja?. Chizi Wewe, ninakuhakikishia huo uwanja haina double air bridges, that airport doesn't have facilities and qualifications to handle that plane.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are even embarrassing your fellow country men.
Sasa unataka kutuambia nini Wewe chizi?, unataka kusema hapo ipo katika normal routes zake?, acha ujinga wewe, katika akili zako hiyo ndege itashusha na kupakia watu wote kwa kutumia hizo ngazi ndogo wote kupitia First floor, watu wote 480 watumie hizo ngazi mbili ndogo ktk floor moja?. Chizi Wewe, ninakuhakikishia huo uwanja haina double air bridges, that airport doesn't have facilities and qualifications to handle that plane.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya Airways Talking to Airbus, But Boeing Still on Radar

By

Bella Genga

28 March 2019, 19:17 GMT+3Updated on 29 March 2019, 08:19 GMT+3

Kenya Airways Plc. is in discussions with Airbus SEto acquire an unspecified number of planes from the Toulouse, France-based company, but remains a “happy and loyal customer” of Boeing Co., according to Chief Executive Officer Sebastian Mikosz.

Sub-Saharan Africa’s third-largest carrier, which wants to add 50 airliners to its fleet over the next six years to ward off competition from the rest of Africa and the Middle East, is “seriously thinking” about Airbus’s medium-range A220, Mikosz said in an interview Tuesday in the Rwandan capital, Kigali.

“If the producer offers us a good deal on the pricing and their delivery and training conditions, we will adopt,” he said. The long-haul A380, though, was out of the equation as it “never made a dime for anybody.”

Besides the A220, the industry has “very limited alternatives” for narrow-body aircraft other than Boeing’s 737 Max, which was grounded after two deadly crashes in the last five months.

Read more about the problems with Boeing 737 Max here

“We are one of the potential customers for this aircraft,” Mikosz said of the 737 Max. “I’m not losing trust in them. I believe that once the corrections are done, we will have to conduct a very detailed and large communications exercise to explain what was wrong and what was corrected.”

Kenya Airways hopes to get clarity by the end of the year on its proposal to jointly manage the Jomo Kenyatta International Airport in the capital, Nairobi, with the state-owned Kenya Airports Authority through a 30-year concession plan, Mikosz said. The venture could increase passenger traffic at the airport by more than half in under five years, according to the proposal.

“What we are advocating is a massive systemic change” in the country’s civil aviation industry, he said. “The growth of the airline is essential as it accounts for 80 percent of the airport’s revenues annually.”

Sent using Jamii Forums mobile app
Za mkopo! Again
 
iv kwann kuna watu wana penda league sana ..siku moja pale Nairobi wakati Magu alipotimba aliwaambia watu ya kuwa wao wanawasiliana sanaaa ktk simu na viongozi wetu wana share idears kwa hiyo KQ ku opt kununua A220 sio kitu kibaya mbona hata DELTA AIR wazo A220 za kutosha, Korean air wanazo za kutosha, egypt air ndio waafrika wakwanza ku order A220 nyingi zaidi ya 30, ATCL ndio operator wa kwanza Africa kurusha A220 Africa ....ni ndege nzuri ndio maana huyo CEO wa KQ waliona bora wajifunze kwa kuruka nayo toka JKIA kuja JNIA mpaka KIA ...tena A220 za DELTA AIR zina PTV zinavutia sanaa ..kwa hili kwa kweli KQ mnastahili pongezi kujifunza ni jambo zuri
 
Duh
Aisee hawa wakenya uwivu wao kwa nchi yetu Tanzania unawamaliza kabisa walahi
Ni kweli hawa ndugu zetu wana WIVU alafu hawapendi wenzao wakipiga hatua ya maendeleo... LEO nilikuwa natazama citizen tv kuna mbunge sijui wa count gani huko ana MIND deal la uganda na kenya deal la sukari walilo sign juzi pale Mombasa ..wanadai wazalishaji wa ndani watapata tabu ..mara itakuwaje mayai yatoke Uganda..ila wao wanapenda kuwatupia wenzao takataka zao kiukweli hawa wa 254 wana WIVU wa kipuuzi nazani ndio maana M7 aliwanyimilia mbali lile bomba...

ndege iraruka huko tangia baada ya iyo tarehe 28 ambapo ilionekana huko JKIA mpaka leo tarehe 31 dege linapiga masafa
 
Ni kweli hawa ndugu zetu wana WIVU alafu hawapendi wenzao wakipiga hatua ya maendeleo... LEO nilikuwa natazama citizen tv kuna mbunge sijui wa count gani huko ana MIND deal la uganda na kenya deal la sukari walilo sign juzi pale Mombasa ..wanadai wazalishaji wa ndani watapata tabu ..mara itakuwaje mayai yatoke Uganda..ila wao wanapenda kuwatupia wenzao takataka zao kiukweli hawa wa 254 wana WIVU wa kipuuzi nazani ndio maana M7 aliwanimilia mbali lile bomba...
Hilo ndio tatizo lao kubwa, kila kitu wanataka kuonekana wao wako better, hicho ndicho kinachowarudisha nyuma, hawakubaliani na ukweli kwamba hakuna nchi au mtu ambaye ni mkamilifu duniani.

Huyo Mtendaji Mkuu wa KQ sio Mkenya ndio amekubali kulipa ATCL ili wakajifunze, lakini ingekuwa ni Mkenya, angeanza kuziponda na kuzitoa mapungufu hizo ndege zetu na kusifia kampuni la Boeing, just kuonyesha kwamba Tanzania is wrong kununua Airbus A200.

Hawa kweli ni mazwazwa and iam sure kama ilo shirika lingekuwa haliendeshwi na wazungu ILO SHIRIKA LINGEKUWA LISHAKUFAAA SIKU NYINGIII MNOOOO nafikiri baada ya 1977 walishindwa kulingoza ndio wakaamua kuwakodisha wadhungu JINA la KENYA AIRWAYS ..ss hapo lazima tuwape kongole timu yetu ya watalaam waliopendekeza kununua A220 CS300 ...nafikiri ndio maana mzee mbaba M7 akaamua na yy atungue bombadier kwanza kama kifungulia shirika ...ndugu zetu wa 254 mliopo humu JF tunajua sio WOTE lkn punguzeni WIVU ss TUNAWAPENDA BILA KUJALI mapungufu yao sababu tunawajua ......
 
Poa sana, ila wasikubali kununua ile ya bongo ambayo naskia wamechora twiga kwa mkaa ili kubana matumizi.

Maneno mengi sana ila ipo siku mtaikubali Tz tu. Mliongea sana sasa mlikuja kukodisha ili mpate uhakika maana mlisema hiyo ni ndege hakuna versions nyingi so haina uhakika, wachache walioitumia appreciated na baadhi ya watu wenu wameipanda na ndio maana viongozi wenu wameikodisha wakaitest wajiridhishe na wameona inafaa sasa wataziagiza
 
Nakumbuka niliona habari sehemu rais wenu akisifia eti amepata darasa kutoka kwa Kagame jinsi ya kununua ndege, tatizo mlifuata ushauri bila kuandaa mikakati, mumeishia kuwa na mindege mumezipaki msijue kwa kuzipeleka na ndio maana mnaanza kutusumbua tununue ilhali sisi mipango yetu haikua tununue madude mumechora twiga kwa mkaa.
Naskia bado limepaki JKIA, mje mlichukue hatuna muda nalo, low standard.
 
Nenda public place yeyote tanzania kaingie chooni ndiyo utawajua watanzania, nadhani pimbi ni wewe, nenda airport, nenda kariakoo sokoni , nenda feri , halafu nenda kenya popote
wenzako ukweli kwao ni mwiko....wachezea ccm wewe...kila kitu ni ndio
 
Acha kuropokwa soma article. Shida yenyu in kuchukia kusoma.
You are kidding!! We have already signed a good deal with Airbus for our Airbus 220 to be used once needed by Airbus for marketing purposes around Africa!! Be informed you nyang'au!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka niliona habari sehemu rais wenu akisifia eti amepata darasa kutoka kwa Kagame jinsi ya kununua ndege, tatizo mlifuata ushauri bila kuandaa mikakati, mumeishia kuwa na mindege mumezipaki msijue kwa kuzipeleka na ndio maana mnaanza kutusumbua tununue ilhali sisi mipango yetu haikua tununue madude mumechora twiga kwa mkaa.
Naskia bado limepaki JKIA, mje mlichukue hatuna muda nalo, low standard.
Hela ya kununua chakula hamna mtaweza kununua ndege? Kanunueni mahindi mpeleke Turkana hatuwasaidii mahindi mengine tena.
 
Back
Top Bottom